Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

Binadamu yeyote uliyepewa ufahamu na utambuzi wa mambo mbalimbali kwenye dunia ya leo iliyojaa tabu na masumbuko ni vizuri kuyafanya mapenzi mema kwa majitoleo kwa yatima,wenye shida mbalimbali maradhi sugu walemavu etc.

Uzuri wewe hata unakuwa na hamu ya kufanya hivi vitu kabisa,basi kwa uwezo wako na hapo ulipo tafuta kundi moja wapo tajwa hapo juu peleka vipaji vyako na sadaka utakuwa umeyafanya mapenzi ya Mungu kwa njia sahihi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…