Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

na wewe unaona kauliza vizuri? u ndio kundi la sura ya baba mdogo?
Sawa mrembo, sura nzuri unayo wewe peke yako jukwaa zima!
hiki ni nini? haszu JF  .png
 
Sikuona mwyaa kumbe ulinijibu 🤣
Yeah hujakosea mie sura mbayaa halafu shepu kama kabati

We kuwa straight kama ni mwanaume,mwanamke au gay.sie hatuna shida nawe
Hatuhukumu,na tutaenda nawe kama ulivyo.kuna wenzio humu wako hivyo wawazi na Maisha yanaenda.
wewe lazima utakua na sura mbaya+shapeless
 
Back
Top Bottom