Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

Sikuona mwyaa kumbe ulinijibu 🤣
Yeah hujakosea mie sura mbayaa halafu shepu kama kabati

We kuwa straight kama ni mwanaume,mwanamke au gay.sie hatuna shida nawe
Hatuhukumu,na tutaenda nawe kama ulivyo.kuna wenzio humu wako hivyo wawazi na Maisha yanaenda.
wewe lazima utakua na sura mbaya+shapeless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…