Kuna siku wapinga teknolojia watakuja wengi hapa JF kulalamika ajira

Kuna siku wapinga teknolojia watakuja wengi hapa JF kulalamika ajira

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika.

Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha.

Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna mashine zinazoweza kufanya kazi zaidi ya wafanyakazi.

Jeshini na polisi nako naona marobot yanaanza kuwa mengi na hayawezi kupokea rushwa.

Magari mapya siku hizi yanaweza kukueleza tatizo bila fundi kukupiga pesa.

Akili mnemba sasa inaweza kuimba,kuchora,kutabiri,kufahamu na kukusomesha zaidi ya profesa kabudi wa majalalani.

Tunapoeleka ni No reform No election sio zama za TANU
 
Back
Top Bottom