Kuna siku watu watafanya maamuzi magumu kuliko Hamza na wasilaumiwe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari.

Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha.

Na kwa hawa jamaa zetu kwa jinsi wasivyo na maarifa, iko siku mtasikia kadhaa wamepukutika na itakuwa funzo kwao na wenzake na kwa wanaowatuma.

Hivyo, ni swala la muda tu kabla swala alilowahi kufanya bwana Hamza linaweza tena kujirudia safari hii madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi na kwa huu uhuni, yakitokea, asilaumiwe mtu zaidi ya hawa wanaotumika na wale wanaowatuma.

Binadamu aliechoka na kukataa tamaa, huwa ni kiumbe hatari sana. Hata Maaskofu nao wameanza kuchoka na sidhani kama nao watanyamaza.

Amani ni tunda la haki na kamwe si vinginenyo.

Muda utaongea.
 
Kwanini kila mara unasema watu watafanya maamuzi magumu, watu watafanya maamuzi magumu? Mbona husemi ipo siku wewe utafanya maamuzi magumu? Unasubiri wengine wafanye sio? Kwamba hao wengine ndio wawe kama Hamza ila wewe ubàki mitandaoni baada ya kushiba makande? Ahahahahaha!!!
 
Pole sana..endelea kutumika ilhali unazo nguvu na privileges ukichokwa unaachwa wanaingizwa wajinga wengine ndio SOP ya mnapotumikia.
Karibu sana ukikaa peke yako nje ya mtandao hutokubali kutumika na wanasiasa uchwara...
 
Yule jamaa Hamza ni mwamba sana. Ni watu wachache sana nchini wana ujasiri kama ule wa kwake.
 
Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari.

Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha.

Na kwa hawa jamaa zetu kwa jinsi wasivyo na maarifa, iko siku mtasikia kadhaa wamepukutika na itakuwa funzo kwao na wenzake na kwa wanaowatuma.

Hivyo, ni swala la muda tu kabla swala alilowahi kufanya bwana Hamza linaweza tena kujirudia safari hii madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi na kwa huu uhuni, yakitokea, asilaumiwe mtu zaidi ya hawa wanaotumika na wale wanaowatuma.

Binadamu aliechoka na kukataa tamaa, huwa ni kiumbe hatari sana. Hata Maaskofu nao wameanza kuchoka na sidhani kama nao watanyamaza.

Amani ni tunda la haki na kamwe si vinginenyo.

Muda utaongea.
Kweli kabisa, uvumilivu una mwisho!
 
Karibu sana ukikaa peke yako nje ya mtandao hutokubali kutumika na wanasiasa uchwara...
FB_IMG_17454788648566492.jpg
Hata Hamza alikuwa sehemu ya mtandao wenu akisema zidumu fikra za mwenyekiti ila alipoona uonevu umezidi akajichukulia hatua mkononi.
FB_IMG_17454788586719338.jpg
 
Back
Top Bottom