Kuna siku watu watafanya maamuzi magumu kuliko Hamza na wasilaumiwe

Kuna siku watu watafanya maamuzi magumu kuliko Hamza na wasilaumiwe

Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari.

Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha.

Na kwa hawa jamaa zetu kwa jinsi wasivyo na maarifa, iko siku mtasikia kadhaa wamepukutika na itakuwa funzo kwao na wenzake na kwa wanaowatuma.

Hivyo, ni swala la muda tu kabla swala alilowahi kufanya bwana Hamza linaweza tena kujirudia safari hii madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi na kwa huu uhuni, yakitokea, asilaumiwe mtu zaidi ya hawa wanaotumika na wale wanaowatuma.

Binadamu aliechoka na kukataa tamaa, huwa ni kiumbe hatari sana. Hata Maaskofu nao wameanza kuchoka na sidhani kama nao watanyamaza.

Amani ni tunda la haki na kamwe si vinginenyo.

Muda utaongea.
Keyboard warrior mwingine ,nenda kasikilize kesi usimuachie jukumu mnyika pambana kwenye field huku mtandaoni hakuna majibu ni kama kilimo Cha kwenye madaftari .
 
Back
Top Bottom