Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kwani wewe uliwahi kutegemea kile alichofanya Hamza kingetokea ilhali Hamza alikuwa kada mwenzenu wa kijani?Tangu ulipoanza kuandika nyuzi za aina hii hukuwahi kujaribu hata siku moja...
Utajua mwenyewe ila mpaka muda huu upo chini ya uvungu hakuna ujasiri....Kwani wewe uliwahi kutegemea kile alichofanya Hamza kingetokea ilhali Hamza alikuwa kada mwenzenu wa kijani?
Kwanini kila mara unasema watu watafanya maamuzi magumu, watu watafanya maamuzi magumu? Mbona husemi ipo siku wewe utafanya maamuzi magumu? Unasubiri wengine wafanye sio? Kwamba hao wengine ndio wawe kama Hamza ila wewe ubàki mitandaoni baada ya kushiba makande? Ahahahahaha!!!Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari.
Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha.
Na kwa hawa jamaa zetu kwa jinsi wasivyo na maarifa, iko siku mtasikia kadhaa wamepukutika na itakuwa funzo kwao na wenzake na kwa wanaowatuma.
Hivyo, ni swala la muda tu kabla swala alilowahi kufanya bwana Hamza linaweza tena kujirudia safari hii madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi na kwa huu uhuni, yakitokea, asilaumiwe mtu zaidi ya hawa wanaotumika na wale wanaowatuma.
Binadamu aliechoka na kukataa tamaa, huwa ni kiumbe hatari sana. Hata Maaskofu nao wameanza kuchoka na sidhani kama nao watanyamaza.
Amani ni tunda la haki na kamwe si vinginenyo.
Muda utaongea.
Pole sana..endelea kutumika ilhali unazo nguvu na privileges ukichokwa unaachwa wanaingizwa wajinga wengine ndio SOP ya mnapotumikia.Utajua mwenyewe ila mpaka muda huu upo chini ya uvungu hakuna ujasiri....
Karibu sana ukikaa peke yako nje ya mtandao hutokubali kutumika na wanasiasa uchwara...Pole sana..endelea kutumika ilhali unazo nguvu na privileges ukichokwa unaachwa wanaingizwa wajinga wengine ndio SOP ya mnapotumikia.
Unaelekea na nani mzee...Huu ndo ukweli wenyewe, Tunapoelekea ni pabaya zaidi
Kweli kabisa, uvumilivu una mwisho!Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari.
Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha.
Na kwa hawa jamaa zetu kwa jinsi wasivyo na maarifa, iko siku mtasikia kadhaa wamepukutika na itakuwa funzo kwao na wenzake na kwa wanaowatuma.
Hivyo, ni swala la muda tu kabla swala alilowahi kufanya bwana Hamza linaweza tena kujirudia safari hii madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi na kwa huu uhuni, yakitokea, asilaumiwe mtu zaidi ya hawa wanaotumika na wale wanaowatuma.
Binadamu aliechoka na kukataa tamaa, huwa ni kiumbe hatari sana. Hata Maaskofu nao wameanza kuchoka na sidhani kama nao watanyamaza.
Amani ni tunda la haki na kamwe si vinginenyo.
Muda utaongea.
Karibu sana ukikaa peke yako nje ya mtandao hutokubali kutumika na wanasiasa uchwara...