Kuna sintofahamu kati ya elimu ya Tanzania na Mahitaji ya soko la ajira/kidijitari

Kuna sintofahamu kati ya elimu ya Tanzania na Mahitaji ya soko la ajira/kidijitari

kilio

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
100
Reaction score
127
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha habari. Pia nimejitahidi kufatilita kazi zinazotangazwa na makampuni makubwa yanayoingiza faida kubwa Tanzania, katika sekta ya mawasiliano na Kifedha. Nilichojkiona kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi katika taasisi za ndani na nje.. Watanzania waliowengi wanatumia matatizo yao ya miaka 30 iliyopita yaje yatatuliwe na watoto wao , bila kujua kila dhama zina mahitaji yake. Wanasahau elimu inachukua zaidi ya miaka 17-20 hadi kuja kuhitimu degree ya kwanza. Katika kipindi hicho kuna mengi yanafanyika katika soko huria.
Mahitaji ya soko huria yamedhihirisha kinachosomwa chuo ni asilimia 5-10 kinachohitajika katika soko huria .Vyuo vyetu havina bajeti ya kutosha kukuwezesha wewe kuwa Competent katika IT infrastructure specialist, Cybersecurity, Data Engineer , Machine learning expertise. Lazima uwekeze sana . Chuo kitakupa degree ya computer science utajifunza stori nyingi za teknolojia, lakin siyo uwezo wa kufanya kazi kutumia hizo teknolojia. Kuna hitaji mjadala, hizo kazi hapo chini huwezi pata kwa degree inahitaji uwekezaji nje ya degree
yas2.jpeg
 
Kama mshahara wako haitoshi kulipia Safari ya Ndege Kwenda Zanzibar, mzee pambana sana upate kujikwamua😂
 
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha habari. Pia nimejitahidi kufatilita kazi zinazotangazwa na makampuni makubwa yanayoingiza faida kubwa Tanzania ya mawasiliano na Kifedha. Nilichojkiona kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi katika taasisi za ndani na nje.. Watanzania waliowengi wanatumia matatizo yao ya miaka 30 iliyopita yatatuliwe watoto wao , bila kujua kila dhama zina mahitaji yake. Wanasahau elimu inachukua zaidi ya miaka 17-20 hadi kuja kuhitimu degree ya kwanza. Katika kipindi hicho kuna mengi yanafanyika katika soko huria.
Mahitaji ya soko huria yamedhihirisha kinachosomwa chuo ni asilimia 5-10 kinachohitajika katika soko huroa .Vyuo vyetu havina bajeti ya kutosha kukuwezesha wewe kuwa Competent IT infrastructure specialist, Cybersecurity, Data Engineer , Machine learning expertise. Lazima uwekeze sana . Chuo kitakupa degree ya computer science utajifunza stori nyingi za teknolojia, lakin siyo uwezo wa kufanya kazi kutumia hizo teknolojia. Kuna hitaji mjadala, hizo kazi hapo chini huwezi pata kwa degree ina hitaji uwekezaji nje ya degree
View attachment 3584838
Nini Kifanyike Kutatua hizi changamoto,
Maana Hata mambo yanayo Fundishwa chuoni Asilimia Kubwa hayatumiki katika Uhalisia wake katika Kipindi hiki,

Na hakuna Kitu kigumu Kwa wakufunzi Kama kuandaa content Mpya za somo furahi Kwa Sababu inaitaji Kusoma Sana vitabu na Kuja na material mapya kwaajili ya kufundisha,

Tatizo lililopo Asilimia Kubwa ya mambo yanayo Fundishwa chuoni haya badilishwi Kulingana na Wakati,

Kitu mkufunzi alicho fundisha Mwaka 2020 ndio hicho hicho anacho fundisha 2026

Hakuna serious update according to world or country needs.
 
Nini Kifanyike Kutatua hizi changamoto,
Maana Hata mambo yanayo Fundishwa chuoni Asilimia Kubwa hayatumiki katika Uhalisia wake katika Kipindi hiki,

Na hakuna Kitu kigumu Kwa wakufunzi Kama kuandaa content Mpya za somo furahi Kwa Sababu inaitaji Kusoma Sana vitabu na Kuja na material mapya kwaajili ya kufundisha,

Tatizo lililopo Asilimia Kubwa ya mambo yanayo Fundishwa chuoni haya badilishwi Kulingana na Wakati,

Kitu mkufunzi alicho fundisha Mwaka 2020 ndio hicho hicho anacho fundisha 2026

Hakuna serious update according to world or country needs.
Mambo yanayofundishwa chuoni hayatumiki katika maisha ya kawaida, inategemea economy policy ya Tanzania na mahitaji ya nchi yako na nchi yako ime ji position vipi katika global economy. Kwa mfano mim binafsi nilisoma course inaitwa Computer Architecture. Hii course inausisha ufahamu wa n teknolojia ya Computer from the scratch. Naamanisha Utengenezaji wa Computer. Course kama hii ina manufaa kwa nchi kama China, Vietnamme, Indonesia,South Korea,Japan na nchi baadhi za ulaya na marekani. Wao wameji position as Manufacture of the World. Wakati nchi kama Tanzania imeji position kama watumiaji wa products na some meitanance. Kwahiyo ishu inayolipa ni Computer Maintanance kwasababu Tanzania ni User wa end products na siyo mtengenezaji.
 
 
Back
Top Bottom