Nini Kifanyike Kutatua hizi changamoto,Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha habari. Pia nimejitahidi kufatilita kazi zinazotangazwa na makampuni makubwa yanayoingiza faida kubwa Tanzania ya mawasiliano na Kifedha. Nilichojkiona kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi katika taasisi za ndani na nje.. Watanzania waliowengi wanatumia matatizo yao ya miaka 30 iliyopita yatatuliwe watoto wao , bila kujua kila dhama zina mahitaji yake. Wanasahau elimu inachukua zaidi ya miaka 17-20 hadi kuja kuhitimu degree ya kwanza. Katika kipindi hicho kuna mengi yanafanyika katika soko huria.
Mahitaji ya soko huria yamedhihirisha kinachosomwa chuo ni asilimia 5-10 kinachohitajika katika soko huroa .Vyuo vyetu havina bajeti ya kutosha kukuwezesha wewe kuwa Competent IT infrastructure specialist, Cybersecurity, Data Engineer , Machine learning expertise. Lazima uwekeze sana . Chuo kitakupa degree ya computer science utajifunza stori nyingi za teknolojia, lakin siyo uwezo wa kufanya kazi kutumia hizo teknolojia. Kuna hitaji mjadala, hizo kazi hapo chini huwezi pata kwa degree ina hitaji uwekezaji nje ya degree
View attachment 3584838
Mambo yanayofundishwa chuoni hayatumiki katika maisha ya kawaida, inategemea economy policy ya Tanzania na mahitaji ya nchi yako na nchi yako ime ji position vipi katika global economy. Kwa mfano mim binafsi nilisoma course inaitwa Computer Architecture. Hii course inausisha ufahamu wa n teknolojia ya Computer from the scratch. Naamanisha Utengenezaji wa Computer. Course kama hii ina manufaa kwa nchi kama China, Vietnamme, Indonesia,South Korea,Japan na nchi baadhi za ulaya na marekani. Wao wameji position as Manufacture of the World. Wakati nchi kama Tanzania imeji position kama watumiaji wa products na some meitanance. Kwahiyo ishu inayolipa ni Computer Maintanance kwasababu Tanzania ni User wa end products na siyo mtengenezaji.Nini Kifanyike Kutatua hizi changamoto,
Maana Hata mambo yanayo Fundishwa chuoni Asilimia Kubwa hayatumiki katika Uhalisia wake katika Kipindi hiki,
Na hakuna Kitu kigumu Kwa wakufunzi Kama kuandaa content Mpya za somo furahi Kwa Sababu inaitaji Kusoma Sana vitabu na Kuja na material mapya kwaajili ya kufundisha,
Tatizo lililopo Asilimia Kubwa ya mambo yanayo Fundishwa chuoni haya badilishwi Kulingana na Wakati,
Kitu mkufunzi alicho fundisha Mwaka 2020 ndio hicho hicho anacho fundisha 2026
Hakuna serious update according to world or country needs.
Karibu ZanzibarKama mshahara wako haitoshi kulipia Safari ya Ndege Kwenda Zanzibar, mzee pambana sana upate kujikwamua😂
Ntaka mke mwenye asili ya Shiraz, nitapata?Karibu Zanzibar
Njoo PmNtaka mke mwenye asili ya Shiraz, nitapata?
Nakuja chap kama defender ya polisi kwenye mkutano wa chademaNjoo Pm