Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kuna ujumbe anatuma kwa kundi flani ndio iko sahihi.Watu wanamipango na mikakati mkuu.
Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita. Huenda ikawa kujiweka karibu na Mama...
Kwa nafasi yake nafasi ya kumuona Rais anayo na anaweza kumweleza jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.
Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
Hii kuna ujumbe anatuma kwa kundi flani ndio iko sahihi
Nilitaka jibu hvUmeshasema ni siri- sisi tutajuaje.