Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Watu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu.
Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita. Huenda ikawa ni kujiweka karibu na Mama...

Kwa nafasi yake nafasi ya kumuona Rais anayo na anaweza kumweleza jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.

Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
Nataka kuwaza kama wewe
 
Kuna eneo hapo nimewaza kama ulivyoainisha.
 
JE KULIKUWA NA UMUHIMU GANI WA MKUU WA MAJESHI KUTOA KAULI HIYO? Je, haoni kwamba kwa nafasi yake kutoa kauli kama hiyo kunaweza kuzua taharuki kwenye jamii juu ya usalama wa nchi au Mh. Rais?

Hajaitamka kwa bahati mbaya, ni mpango wa kuwapiga mkwara watu fulani.

Hapo utakuta hata hilo jambo ni hewa ila kuna watu watajamba jamba.
 
Back
Top Bottom