Huyu nae afanye kazi yake,asilete ushirombo hapa, aelewe kuwa Tanzania,ni kubwa,inaanzia Mtwara mpaka Tanga,Kigoma mpaka murongo border Kagera,Rukwa,mpaka Arusha.
Tanzania sio Chato, Mwanza, Tabora,au simiyu, yeye yupo hapo kutumikia Nchi yenye makabila 120+,asiwaze Kisukuma,awaze kama state figure, analipwa mshahara kwa kodi za Watz wote, Wachaga na Wakinga, Wapare na wasambaa, Wamakonde na wamwera, wasafwa na wanyakyusa.
It's high time,hizi story za Kisukuma tuziache,tuponye nchi.Wachaga kwenye utawala wa Maghu walikiona Cha mtema kuni,chukua, uzandiki, sasa tuponye nchi, ule ujambazi wa kupora pesa za watu benki tuache tujenge nchi.
Maghu kaondoka, nothing special, Nyerere alipendwa, mpaka akatangazwa Mtakatifu,
Wasukuma mzikeni homeboy wenu, lakini Tanzania ni kubwa kuriko usukuma, tunajenga nchi sasa.