Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Bashiru , Bashe ,Polepole na kundi lao wameumia .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja Mama D, ingawa natumia I'd mpya hivyo huwezi huwezi nielewa.[emoji120]Taifa letu liko imara sana
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji1241]
Rais John Pombe Joseph Magufuli alale salama[emoji174][emoji120]
Well saidWatu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu
Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita...
Kwa nafasi yake nafasi ya kumuona Rais anayo na anaweza kumweleza jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.
Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
Tena ItakuwaSiri hiyo atakuwa nayo Generali mwenyewe. Sisi hapa tutaishia kuwa wapiga ramli tu.
Ndiyo Ukweli WenyeweWatu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu
Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita...
Kwa nafasi yake nafasi ya kumuona Rais anayo na anaweza kumweleza jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.
Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
Haikusadii kitu mind your own business.Je Venence Mabeyo ana ujumbe ana dokezo gani kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan??View attachment 1734986
mi nadhani labda kuhusu ccm mpyaJe Venence Mabeyo ana ujumbe ana dokezo gani kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan??View attachment 1734986
Porojo zako tu. Hamna yeyote aliyehujumu afya yake. Kwanza afya yake ilikuwa kimeo na mushkel coronsa ika kumfyekelea mbali na kutukomboa. No one had interest to harm himYawezekana siku chache baada ya Hayati kujua wahuni wameshahujumu afya yake na ikitokea hataweza kupona basi jambo/mambo yapi yazingatiwe.
Magufuli alijua mtu pekee anaweza kumrithi incase of ni Samia, lakini Je yeye ataweza kuwa jasiri mbele ya Wahuni, mtu pekee wa kumpa nguvu Mama Samia ni Mabeyo na Siro.
Leo katika hotuba yake ametamka neno KATIBA kwa Order na mamlaka ya kijeshi sana, na pia amezungumza utii, uaminifu na ulinzi kwa Rais.
Endapo Rais kutoka marafiki wa Kikwete watarudi madarakani kwa mgongo wa CCM basi Wananchi wataandamana na kusaidiwa na Jeshi.
Leo ndio siku ya Kwanza ya Legacy ya Magufuli imeonekana na Kivuli chake kitaendelea Kuishi vizazi na vizazi
Tatizo marehemu alimuamini sana na kumpandisha mavyeo ili awe mkuu wa majeshi mwisho wa siku alichomfanyia marehemu hakuamini macho yake. Nchi imejaa wezi hadi waaminifu wanakosa busara.Huna la kumfanya na huyu ni Mkuu wa Majeshi Nchini,Jenerari Venance Mabeyo,Msukuma Pure. Una lingine?