The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Bi kidede wameshanza kutaka kumuita chemba
Wanaume sio watu wazuri 😂😂😂
Wanaume sio watu wazuri 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There you are! Hiyo paragraph yako ya mwisho inabeba ujumbe na uzito mkubwa sana, hasa ukiunganisha na kauli ya mama kule dom kuhusu watu walio na wasiwasi naye kama anaiweza nafasi ile!Watu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu
Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita...
Kwa nafasi yake nafasi ya kumuona Rais anayo na anaweza kumweleza jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.
Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
Labda Bi Mkubwa alishauriwa a resign ili mgogo awe steringThere you are! Hiyo paragraph yako ya mwisho inabeba ujumbe na uzito mkubwa sana, hasa ukiunganisha na kauli ya mama kule dom kuhusu watu walio na wasiwasi naye kama anaiweza nafasi ile!
Usitake kumuingiza CDF wa TANZANIA kwenye ushamba wenu wa kisukuma-maguful. Huyu ni CDF wa NCHI na siyo wa wasukuma.Huna la kumfanya na huyu ni Mkuu wa Majeshi Nchini,Jenerari Venance Mabeyo,Msukuma Pure. Una lingine?
Jamaaa gani Mabeyo au Samia suluhuJamaa katoa hotuba bora sana, yupo vizuri upstairs.
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaItakua ufunguo wa mabomu ya nuclear kama USA
Pole Sana mchaga , zama za kujiona nyinyi ni Bora kuliko wengine haipo tena.Huyu nae afanye kazi yake,asilete ushirombo hapa, aelewe kuwa Tanzania,ni kubwa,inaanzia Mtwara mpaka Tanga,Kigoma mpaka murongo border Kagera,Rukwa,mpaka Arusha.
Tanzania sio Chato, Mwanza, Tabora,au simiyu, yeye yupo hapo kutumikia Nchi yenye makabila 120+,asiwaze Kisukuma,awaze kama state figure, analipwa mshahara kwa kodi za Watz wote, Wachaga na Wakinga, Wapare na wasambaa, Wamakonde na wamwera, wasafwa na wanyakyusa.
It's high time,hizi story za Kisukuma tuziache,tuponye nchi.Wachaga kwenye utawala wa Maghu walikiona Cha mtema kuni,chukua, uzandiki, sasa tuponye nchi, ule ujambazi wa kupora pesa za watu benki tuache tujenge nchi.
Maghu kaondoka, nothing special, Nyerere alipendwa, mpaka akatangazwa Mtakatifu,
Wasukuma mzikeni homeboy wenu, lakini Tanzania ni kubwa kuriko usukuma, tunajenga nchi sasa.