Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Mama Samia kapwaya sana leo
Huyu Mama, nna wasiwasi! Nikiangalia type ya watu waliomzunguka na upole wa mama yetu! Nadhan ingekaa vizuri kama angechagua watu watakaompambania objectives zake.
 
Huna namba ya General umuulize maana ujinga ni pamoja na kufaham wakuulizwa kitu alafu ukamuacha na kusumbua watu wengine wasiohusika, kama huna namba nenda getini Pale Ngome Upanga ukamulize
 
Anawachimba biti wasio na nia njema na serikali ya awamu ya 6.
Hivi hii ni serikali ya awamu ya 6 au ya 5? ila tuna Rais wa 6,mimi naona awamu ya 5 bado inaendelea mpaka 2025
 
Huna namba ya General umuulize maana ujinga ni pamoja na kufaham wakuulizwa kitu alafu ukamuacha na kusumbua watu wengine wasiohusika, kama huna namba nenda getini Pale Ngome Upanga ukamulize
Kwan umelazimishwa kutembelea maeneo haya si uende jukwaa la maoenzi
 
Ujumbe ule kwa uelewa wangu alitaka kumaanisha yeye alikuwa mtiifu kwa Rais na ataendelea kuwa hivyo hivyo kwa mama.Mabeyo anajua changamoto anazokabiliana nazo mama,kumtia moyo katika hali ya kutaka kuonyesha ulinganifu,lilikuwa ni suala la muhimu sana.
 
Mjeda akikuambia anakuletea Siri inabidi uwaze sana...Hawa wajeda ni watu tofauti sana..ndio mana ni mhimu kuwaweka Vizuri kwenye makambi watulie huko.
 
Aliyezikwa ni Amiri jeshi mkuu, hakuna ubaya wa mkuu wa majeshi kumzika na kutoa hotuba kwa mwanajeshi mwenzie. Ndio maana mazishi ni ya kijeshi

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Pia kwenye hotuba yake (CDF) alishukuru Rais aliyepita kwa kuteua baadhi ya viongozi kwenye Serikali yake kutoka jeshini.

Kimtindo anapigia chapuo utaratibu huo kuendelea chini ya Mama Samia.
 
Majeshi yetu ya Ulinzi yakae nje ya Politics
Yalinde mipaka haswa huko kusini
Wako wajeshi ni wakuu wa mikoa, wakuu wa Taasisi (pccb) na makatibu wakuu (mambo ya nje).

Hivyo, kwa namma fulani ni ngumu kuwatenganisha na politics
 
Enz za kikwete kumuona mwanajesh anahutubia ji nadra sana lakin siku hizhadi tumewazoea..sasa mobeyo tena kidogo atoe siri hadharan jaman? Khaaaa magu alitufikisha pagumu
 
Kuna namna alikuwa anawatumia watu fulani ujumbe
 
Back
Top Bottom