Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Watu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu.
Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita. Huenda ikawa ni kujiweka karibu na Mama...
.
Anataka kujiosha tu mi nataka awaeleze ndugu zetu wa JWTZ zile tiriol za kutosha zilizokutwa kwenye account ya mke wake zilitoka wapi?

Na pili ile bima anayoikata kwa kila mshahara halafu hakuna faida inayopatikana kwa askari nazo anapeleka wapi? Mi ni hayo tu.
 
Jamaa katoa hotuba bora sana, yupo vizuri upstairs
Ameonesha ubora mkubwa Sana kwenye tukio hili la msiba,
Tanzania hatujafiwa na Rais ambaye hajamaliza muda wake kikatiba.

Ikumbukwe kwamba ni chombo chenye nguvu kwenye nchi zote duniani, na kwa mihemko ya ccm na wasukuma ilikuwa rahisi tu jeshi kuchukua nchi.
KWA HILI ANASTAHILI PONGEZI
 
Anataka kujiosha tu mi nataka awaeleze ndugu zetu wa JWTZ zile tiriol za kutosha zilizokutwa kwenye account ya mke wake zilitoka wapi?

Na pili ile bima anayoikata kwa kila mshahara halafu hakuna faida inayopatikana kwa askari nazo anapeleka wapi? Mi ni hayo tu.

Huna la kumfanya na huyu ni Mkuu wa Majeshi Nchini,Jenerari Venance Mabeyo,Msukuma Pure. Una lingine?
 
Watu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu

Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka kwenye nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita. Huenda ikawa ni kujiweka karibu na Mama...

Kwa nafasi yake nafasi ya kumuona Rais anayo na anaweza kumweleza jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.

Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu fulani.
Last paragraph [emoji419]
 
Anatuma ujumbe maalum...na umefika.
 
Huenda Kuna watu walimshaur kitu against mh Rais wetu na inaonesha hajakubaluana nao ivyo kufanya icho kitendo labda ni ishara ya kuwaambia wale ambao walitaka kitu kua wakiendelea a tamwambia mwenyewe Rais ni Nini wanataka full stop
Ametuma ujumbe...umefika
 
Back
Top Bottom