Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea.

Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?

 
Watu wana mipango na mikakati ya mbali mkuu

Kumbuka wakati huu kila mmoja anataka kujiweka katika nafasi ya kuaminika kwenye awamu ya sita...

Kwa nafasi yake, anauwezo wa kumweleza Rais jambo lolote wakati wowote, hapakua na haja ya kulisema hili hadharani.

Aidha kwa upande mwingine, inawezakua kuna ujumbe anautuma kwa watu flani.
 
Hii kuna ujumbe anatuma kwa kundi flani ndio iko sahihi.
 
Huenda Kuna watu walimshaur kitu against mh Rais wetu na inaonesha hajakubaluana nao ivyo kufanya icho kitendo labda ni ishara ya kuwaambia wale ambao walitaka kitu kua wakiendelea a tamwambia mwenyewe Rais ni Nini wanataka full stop
 
Kacheza na akili za watu hapo kwa waliokuwa wamepiga dili si kumpigia simu babu kuna ishu gani kwani leo simu ya kamanda itakuwa bize Sana.

Kama kumpigia simu demu wako na kumwambia ulidhani sitagundua halafu ukate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…