Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

valid statement

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
2,852
Reaction score
873
1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga?

2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi?

3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na familia zao wanaenda vijinini desemba hii tu?

4: Kama wangekuwa waajiriwa, waajiri gani wangetoa likizo kwa wachagga wote iangukie desemba peke yake?

5: Kwahiyo wachagga wengi(asilimia kubwa) ni wajasiriamali. Hivyo, likizo zao na familia, huwa ni mwezi desemba?

6: Kuna ukweli gani juu ya suala hili la wachagga kusema, ukizaliwa tu mchagga, una elimu ya form4 ya kimaisha. Ukisoma hadi la saba una elimu ya form6 kimaisha. Ukifika form6 una elimu ya shahada ya chuo kikuu kimaisha. Ukiwa na shahada ya elimu, elimu ya maisha una PhD.

Wanasema huitaji kusoma sana, jifunze kutengeneza pesa sana. Ni kweli hili?

Nisaidieni majibu tafadhali.

===============

Baadhi wamejibu;

 
Last edited by a moderator:
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????????????
 
kaka k kwan ww kabila gan? Usije ukawa unajiliwaza
 
mkuu
hayo ndo majibu.

mi ndo niko kwenye basi la dar express naelekea moshiiiiiiiiii. tutaonaa januariii


Weee. . .
Umekaa siti ya ngapi?Na mie nipo kwenye basi la Dar Express.
 
Nikikupa majibu utayapeleka wapi?
Embu tuacheni jamani.Na nyie anzeni kwenda vijijini mwenu mkasalimie ndugu badala ya kujifanya wa mjini ili mjue ambacho hua tunapata.

Nami najipanga kimahesabu kwenda kijijini kwangu. Ni mda tu haujafika.
 
Lazima kwenda kuonyesha wenzako ulichokifanya kwa mwaka mzima.

Angalao umetoa jibu sahihi. Kama unaenda au una mpango wa kwenda mndenyi, jua ni mambo ya ku-debit tu mpaka tarehe 3jan.
Faida unayopata ni kuona shamba lako linaendeleaje. Uvune ndizi na miwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…