Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?


Wewe unafikiri mtu anarudi kwao kwasababu wana ghorofa ama kwa vile wanalalia 6*6? hujaona watu wanahama makwao wanayaacha hayo yote na kwenda kuishi maeneo ambayo humtegemei,kwenda kwenu ni wajibu wako na pia ni kuwa na amani nafsini mwako ..haya mambo mnatakiwa myajue na mtembee Tanzania mjifunze na muone maisha yalivyo ili mkiwa mnakaa na kuanza kuongea uonekana kweli kuna kitu unakielewa na unaeleweka pia.
 

Mkuu, ndio hao mtoto hanunuliwi nguo mpaka iwe siku kuu. Wengine tunapendelea kwenda vijijini kwetu muda wowote nafasi inaporuhusu.
Pia tunaishi na wake zetu na sio kuwacha migombani na kwenda "kuwaona" December
Hatuna matambiko yoyote tukienda huko!
 

Pemba tu sijawahi kufika, ukiacha Kagera, niambie sehemu ambayo unaweza kulinganisha na Uchaggani. Mkitoka kijijini kwenu sawa na Jongoo kutupa mti wake. Wachagga hacha hiyo xmass, wanaenda mara kwa mara. Ukiona vinaelea ujuo vimeundwa.
 
All Chaggas are highly civilised.
They are famous for their Love...that's why they have to meet at least once Per annum.
Tofauti na makabila mengine mkienda kwenu mtarogwa...hata mkifa mnazikwa kinondoni....mnajaza makaburi mjini....
N.B.
Mie sio Mchagga.
 
Sensa sensa wachagga wote muwahi kabla daftari halijafungwa kwa idadi kamili
 
Hiyo mila yenu ya kwenda Christmas inatutesa wengine, mnapotafuta nauli kwa kuvamia watu njiani na kuwapora, kupora madukani na sehrmu mbalimbali kwa sababu Tu ratiba ya kwenda kwenu christmas.
Acheni hizo bana....

Umenichekesha sana we 'kirusi' 🙂
 
Mnachoenda kufuata huko vijijini kujeni na mrejesho hapa mapicha ya huko migombani ndio watawaelewa hapa hata hawawaelewi.

Hahahahaha

mapicha mkuu wala hamna tatizo.
 
Wanakuwa walinzi wa nyumba za wachagga.
Tuwie radhi kaka, sisi waluguru tunarudi may be kila baada ya wiki...moro vijijini mbele ya chalinze hapo, na pia wale wa bagamoyo, hatuna haja ya kusubiri x mass...sisi kila siku twarudi nyumbani, tena hasa wakati wa iddy...in short hatuna muda maalum....unaweza kwenda kwenu hata wakati wa usiku
 

Kwani hakuna Waluguru ambao ni walinzi mkuu?
 
siyo kweli mkuu, tumefundishwa kumuamini Mungu pamoja na kufanya kazi kwa bidii ndiyo maana mafanikio tunayaona katika Maisha yetu.

Nakushauri ondoa fikra hizo potofu nawe utafanikiwa kama walivyofanikiwa wachagga.

Ukiona mtu anakuchukia kisa umenunua shati jipya kaa nae mbali huyo hata chelewa kukuloga!
 
Ni muda wa uhakika kukutana na ndugu, jamaa na marafiki wengi kuliko wakati mwingine wowote wa mwaka.
Sijui nani alianzisha jambo hili bt linatusaidia sana.
Marangu nakuja Jumapili.
Meet u my People;
Godbless
Goodluck
Godbright
Godlisten
PROUD TO BE A CHAGGA.
The floor of Mt. Kilimanjaro is our homeland.
 
Waende wapi na hawana pa kufikia? Utarudi ukae kwenye tembe?Wengi huwa wanarudi nyumbani kwa sanduku (jeneza). Utan argue mchana kutwa hawataelewa.
 

unaumwa???? mbona siku hizi hakuna asiyojuwa pesa kuzitafuta hata kuiba oiya
 
Na me niko safrn na familia yangu tunatoka mbeya tunaelekea bukoba kula sikukuu inamaana si sio watu mmnaona wachaga tu
 
Kwani hakuna Waluguru ambao ni walinzi mkuu?
Ulinzi ni kazi kama kazi nyingine, lakini si wote ni walinzi...kwahiyo sio wote tutawalindia nyuma...miongoni mwetu kuna wakwezi, kuna wauza mbogamboga, walioma ofisini...n.k...ila kwetu tunaenda saaaana, nahisi kushinda kabila nyingine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…