Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Jamani msibishane sana. Kati ya siku kuu zote za mwaka, xmass ndiyo kubwa na ambayo inasherehekewa na kila Taifa. Duniani kote wakati wa xmass baadhi ya ofisi hufungwa!
Kipindi cha December, hali ya hewa Kilimanjaro ni nzuri sana, baridi/joto kwa mbali. Mfano hapa dar joto kali sana. Pia infrastructure kilimanjaro inaruhusu. Muda si mrefu kila corner ya mkoa wa Kilimanjaro itakuwa mji, tunaachana na vijiji. Hata watoto wetu wakifika huko hutamani kubaki jinsi kulivyo kuzuri, hakuna matatizo ya Maji, umeme, barabara maduka kila sehemu.
Wewe unafikiri mtu anarudi kwao kwasababu wana ghorofa ama kwa vile wanalalia 6*6? hujaona watu wanahama makwao wanayaacha hayo yote na kwenda kuishi maeneo ambayo humtegemei,kwenda kwenu ni wajibu wako na pia ni kuwa na amani nafsini mwako ..haya mambo mnatakiwa myajue na mtembee Tanzania mjifunze na muone maisha yalivyo ili mkiwa mnakaa na kuanza kuongea uonekana kweli kuna kitu unakielewa na unaeleweka pia.