Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
hatowezekana wachaga ni kabila kubwa wana pesa kuliko makabila yote humuoni MengiNi kweli, nina wivu sana na hii kitu, natamani kabila langu la mchinga liwe na tajriba kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatowezekana wachaga ni kabila kubwa wana pesa kuliko makabila yote humuoni MengiNi kweli, nina wivu sana na hii kitu, natamani kabila langu la mchinga liwe na tajriba kama hii
wivu unakusumbua kama mwanamke aliyeachwa na mume wake.wachaga kero kweli
Dodoma na Singida kuna mauaji gani!!! Au hujui hata kanda ya kati ina mikoa gani! Utakuwa kizazi cha division 5 wewe msiojua hata Geography ya nchi yenuHa ha ha ha kwa mfano ukiangalia mikoa ya kanda ya kati kila siku mauaji ya wakulima na wafugaji sasa uende ukachinjwe?
Naelekea Morogoro, kwa sasa tupo hapa Korogwe, tumejipanga foleni kwa zaidi ya nusu saa sasa katika kituo cha mafuta cha Total, niko siti ya mbele, nauliza hii shida ya mafuta imeanza lini?? najibiwa na abiria mwenzangu kwamba hakuna shida ya mafuta, ni msongamano wa magari ya wachaga wanaokwenda kwao katika msimu huu wa siku kuu, wanakwenda hija......Hali ipo hivyo pia katika vituo vingine vya mafuta hapa mjini.......njiani tunakutana na misururu ya magari ya kifahari yakiongozana kuelekea kaskazini mwa nchi....SAFARI NJEMA WACHAGA......NAWATAKIA HIJJA NJEMA!
Ndio maanake maana walitumwa pesa mjini sasa wanapeleka mahesabh ya mwaka mzima
Ha ha ha ha kwa mfano ukiangalia mikoa ya kanda ya kati kila siku mauaji ya wakulima na wafugaji sasa uende ukachinjwe?
Ila waache matambiko na makafara. Dunia ya leo ni ushamba na upuuzi kuendekeza uchawi!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Jamani mnisaidie hili swali, mbona hawa wenzetu wanapenda sana kusafiri kwa mkupuo kipindi hiki cha mwisho wa mwaka hasa Krisimasi,mtueleze huko moshi kuna kitu gani cha tofauti na mikoa mingine?
Mnasababisha hadi nauli zinapanda bila sababu yoyote ile.
cc miss chagga
Matambiko na kupiga mbege....!