Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Teh Teh nyie mnakwenda kupiga ramli..Nyie pesa zenu malizeni kwenye kulipia live coverage ya harusi TBC na kwenu mmekusahau maisha duni zaidi hata ya Lindi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh nyie mnakwenda kupiga ramli..Nyie pesa zenu malizeni kwenye kulipia live coverage ya harusi TBC na kwenu mmekusahau maisha duni zaidi hata ya Lindi..
Kwanini Wazungu wanapenda kusafiri kurudi kwenye familia zao kipindi cha Thanks Giving??
Wachagga wanapenda kula sikukuu za Xmas na Mwaka Mpya pamoja na ndugu na jamaa zao..
Teh Teh nyie mnakwenda kupiga ramli..
Teh Teh nyie mnakwenda kupiga ramli..
Kwa hiyo chadema ni chama cha wachagga?Hehehehehe haswaaaa na kupeana mrejesho wa chama chetu cha chadema
KAMA ni hivyo kwanini hawaendi wakati wa Pasaka?
Matambiko na kupiga mbege....!
Kwa hiyo chadema ni chama cha wachagga?
Hehehehehe haswaaaa na kupeana mrejesho wa chama chetu cha chadema
si useme tu mnakwenda kuhesbiwaNi desturi tu, kwamba wamezoea kushiriki pamoja na familia zao msimu huu wa sikukuu.
KAMA ni hivyo kwanini hawaendi wakati wa Pasaka?
Ni kipindi muafaka kukutana na ndugu na jamaa kufurahi pamoja. Pia ni kipindi cha kutambulishana. Kuna watoto wengi wamezaliwa sehemu tofauti na hawawajui ndugu wengine so muda mwafaka kuwatambulisha kwa ndugu ili wafahamiane wasije oana. Pia mazingira ya uchagani ni mazuri sana kwa mapunziko. Yanavutia sana. ukianzia na mlima KLM, migomba, kahawa, miti miti, nyumba nzuri zilizopambwa na maua na fance za maua, ukoka au nyasi zilizo katwa vizuri kuelekea nyumba za watu, barabara nzuri, mbege, lafuzi nzuri ya wachaga nk