Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Ni kipindi muafaka kukutana na ndugu na jamaa kufurahi pamoja. Pia ni kipindi cha kutambulishana. Kuna watoto wengi wamezaliwa sehemu tofauti na hawawajui ndugu wengine so muda mwafaka kuwatambulisha kwa ndugu ili wafahamiane wasije oana. Pia mazingira ya uchagani ni mazuri sana kwa mapunziko. Yanavutia sana. ukianzia na mlima KLM, migomba, kahawa, miti miti, nyumba nzuri zilizopambwa na maua na fance za maua, ukoka au nyasi zilizo katwa vizuri kuelekea nyumba za watu, barabara nzuri, mbege, lafuzi nzuri ya wachaga nk
Me mchaga kinachotupeleka nyumbani ni kusalimia wazee na ndugu zetu. Pia inapendeza kufanya analysis kwa yupi kayumba na yupi kashuka na kuangalia namna ya kufanya.
Mwisho ni kuendeleza mfuko wa elimu kwa watoto mayatima. Takribani watoto 50 kila mwaka hupelekwa shule za kisasa na matumiz ambayo huwafanya kujiona hawana upungufu wowote.
Nyumba.Barbara.Hali ya hewa vinachangia huko usukumani mkirudi mnalala na ngombe.kuna sehemu mbaya jamani kma Songea mkija dar ndo mmefika Newyork .
NI MBINU YA KUJIPANGA:
=> KUTADHIMINI mmetoka wapi? mpo wapi? mnaenda wapi? KIBIASHARA na kupeana mbinu na msaada ya mitaji NA USHAURI WA MAISHA
Matambiko na kupiga mbege....!
Halafu mbona madogo wa shule za msingi ndio mnawaleta kuuza maduka? Shule sio kipaumbele sana?
Matambiko na kupiga mbege....!
Jamani mnisaidie hili swali, mbona hawa wenzetu wanapenda sana kusafiri kwa mkupuo kipindi hiki cha mwisho wa mwaka hasa Krisimasi,mtueleze huko moshi kuna kitu gani cha tofauti na mikoa mingine?
Mnasababisha hadi nauli zinapanda bila sababu yoyote ile.
cc miss chagga
Wewe labda sio wa kaskazini...! Wenzio wanakwenda kupiga ramli kabisa...Matambiko hamnaga cku hizi mutu yangu wee niaje!
Naomba nikuambie tu, ni vyema usiangalie wachagga kwa kuwa wameweza,kwanini makabila mengine mshindwe, yani mwaka mzima hujaonana na ndugu jamaa na rafiki bado hushindwe mwisho wa mwaka kwenda,maana swala la kuenda kuwasalimu ndugu yani bibi, babu, mama, baba,rafiki na jamaa kwenye origin yenu sio la wachaga tu,ingawa wachaga wameweza kuthamini kwao kuliko makabila mengine yote.na tuwapongeze kwa hilo.
Huko kwenu kunaendeka?au mpaka kiangazi tu.Sisi wengine huwa hatungoji mpaka mwisho wa mwaka muda wowote tunaenda makwetu.
Huko kwenu kunaendeka?au mpaka kiangazi tu.
Wewe labda sio wa kaskazini...! Wenzio wanakwenda kupiga ramli kabisa...
Tunatumia Fastjet