Shukra kwa mwaliko jombaa siyuko mbali na Rombo niko kazi karibu na mpaka kati ya Namanga na Tarakea maeneo ya Kajiado.Inaniuma sana sitaweza kuwa na wenzangu kwa bibi kule eneo za mlima Kenya kunaitwa mukurwe-ine hii krismasi,ndugu na dada zangu wote na 'cousin' zangu wanaelekea huko tarehe 24 wanarudi tarehe mbili Nairobi,mimi hadi tarehe mbili niko kazini.Mwaliko wako ntafatilia shugli zikipungua lakini.Shukran.
Hamna lolote kwenda kunywa mbege tu..
Karibu sana ndugu.....acha wacheza ngoma waendelee kutokwa povu hapa....
Wachaga kwa matambiko na ibada za mizimu ndio wenyewe. Hiki ni kipindi cha kupeleka vitovu vya watoto waliozaliwa nje ya kwao, ndio kipindi cha kutoa makafala kwa mali walizochuma, ndio kipindi cha kutambika, ndio kipindi cha kupata baraka toka kwa wazazi na mengine mengi yaliyojificha. MAMBO HAYA SIO KWA WACHAGA WOTE kuna wanaofata mkumbo tuuu.[/QUOTE
wanasema 'kudumisha mila'
pasaka ni kuwa mwaka unaanza na tumelipa ada za watoto mipango ndiyo inaanza
Nyumba.Barbara.Hali ya hewa vinachangia huko usukumani mkirudi mnalala na ngombe.kuna sehemu mbaya jamani kma Songea mkija dar ndo mmefika Newyork .
Jamani mnisaidie hili swali, mbona hawa wenzetu wanapenda sana kusafiri kwa mkupuo kipindi hiki cha mwisho wa mwaka hasa Krisimasi,mtueleze huko moshi kuna kitu gani cha tofauti na mikoa mingine?
Mnasababisha hadi nauli zinapanda bila sababu yoyote ile.
cc miss chagga
karibu tenaHAhAHa...asante kwa jibu maridhawa.
sio tunaenda tu na mahekalu tuloporomosha huko ni hatar! bata lazma lirudi nyumban!hatupendi shida kwani tatizo nene? najivunia kuwa mchaga.
sisi tunapenda kushirikiana wakati wa sikukuuu tunakaa pamoja tunakula pamoja.. na ni jambo linalotijengea ushrikiano kwa ndugu kukaa pamoja..... [na pia inafanya tunapata changamoto pale unapoona mwenzio kaja na land cruser we unakipasso lazima mwakani uweke mikakati ya kumfikia mwenzio} kamfano tu hako
Karibu sana ndugu.....acha wacheza ngoma waendelee kutokwa povu hapa....
Kwa hiyo chadema ni chama cha wachagga?
Jamani wachagga wote tutakuwa na mkutano kutathmini uchaguzi mkuu. Agenda muhimu ni kuhakikisha mbowe na mtei wanaendelea kuongoza Chama chetu. Kikao kitafanyika Moshi mjini baada ya x- mass .wote mnakaribishwa.Imetolewa na msemaje wa wachagga
Massawe massawe.

TPA na TRA pamejam..ba mtaenda kwa miguu mwaka huu huko Moshi na hayo ma Range mtayaendesha kwa maji nawaambia!!
sio tunaenda tu na mahekalu tuloporomosha huko ni hatar! bata lazma lirudi nyumban!hatupendi shida kwani tatizo nene? najivunia kuwa mchaga.
Wanaenda kufanya ushirikina kwa kutoa kafara ya kumwaga damu ili kutoa nuksi