Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Shukra kwa mwaliko jombaa siyuko mbali na Rombo niko kazi karibu na mpaka kati ya Namanga na Tarakea maeneo ya Kajiado.Inaniuma sana sitaweza kuwa na wenzangu kwa bibi kule eneo za mlima Kenya kunaitwa mukurwe-ine hii krismasi,ndugu na dada zangu wote na 'cousin' zangu wanaelekea huko tarehe 24 wanarudi tarehe mbili Nairobi,mimi hadi tarehe mbili niko kazini.Mwaliko wako ntafatilia shugli zikipungua lakini.Shukran.

Karibu sana ndugu.....acha wacheza ngoma waendelee kutokwa povu hapa....
 
Karibu sana ndugu.....acha wacheza ngoma waendelee kutokwa povu hapa....

Haina presha jombaa naona kama watz wanawasema nyie wachagga kwa utani tu.Mna bahati hapa Kenya mizimu ya ukabila dhidi yetu wakikuyu ni makali mno.Wengine kwa kuona sie tumejitahidi kujijenga na kujituma kutengeneza hela wanaambiwa na wanasiasa wakikuyu ni wezi.Ukiwasikia wengine wakituongea utashangaa wanatokwa na povu wakisema tumevamia makwao tunatengeneza hela na wao bado eti wataturudisha mikoani na nafasi za kujiendeleza wanaziangalia kwa macho tu na wamezidi kwa starehe za kujionesha wao wako juu.Wakati sie wakikuyu hatatambui kujigamba kwa kiupuuzi kwa starehe za fedha nyingi tunawekeza pesa zetu kwenye miradi ya kuzalisha hela zingine kama majumba ya kulipisha kodi na biashara nyiingi kwa wakati mmoja.Wengine wanasema tunabebana kibiashara na kikazi ndo maana tumeshikilia uchumi wa nchi wakati mtaji wa fedha mkikuyu hatampa mwenzake kamwe.Wanachofanya ni kuwapa vijana wao mtaji wa nafasi ya kujijenga kama kurushiwa tenda au kupewa contract yaani lazima ujidhibitishe unaweza.Kusemwa si shida wanaojitahidi watasemwa tu lakini hapata badilika kitu.
 
Wachaga kwa matambiko na ibada za mizimu ndio wenyewe. Hiki ni kipindi cha kupeleka vitovu vya watoto waliozaliwa nje ya kwao, ndio kipindi cha kutoa makafala kwa mali walizochuma, ndio kipindi cha kutambika, ndio kipindi cha kupata baraka toka kwa wazazi na mengine mengi yaliyojificha. MAMBO HAYA SIO KWA WACHAGA WOTE kuna wanaofata mkumbo tuuu.[/QUOTE

wanasema 'kudumisha mila'
 
Kumbuka ni mwisho wa mwaka mkuu mwaka mzima unatafuta ikifika mwisho tunaenda kufanya majumuisho na kufurahi pamoja
 
Jamani mnisaidie hili swali, mbona hawa wenzetu wanapenda sana kusafiri kwa mkupuo kipindi hiki cha mwisho wa mwaka hasa Krisimasi,mtueleze huko moshi kuna kitu gani cha tofauti na mikoa mingine?
Mnasababisha hadi nauli zinapanda bila sababu yoyote ile.

cc miss chagga

Hawa jamaa wana kawaida ya kuendeleza kwao. Mtu anarudi kijiji kwake ambako kuna maji ya bomba, umeme na mandhari nzuri. Hewa safi pia kwa kutokana na miti. Sasa kyasaka wanajenga Dar ndo maana hawaendi kwao kwenye vibanda vya nyasi.
 
Last edited by a moderator:
sio tunaenda tu na mahekalu tuloporomosha huko ni hatar! bata lazma lirudi nyumban!hatupendi shida kwani tatizo nene? najivunia kuwa mchaga.

sisi tunapenda kushirikiana wakati wa sikukuuu tunakaa pamoja tunakula pamoja.. na ni jambo linalotijengea ushrikiano kwa ndugu kukaa pamoja..... [na pia inafanya tunapata changamoto pale unapoona mwenzio kaja na land cruser we unakipasso lazima mwakani uweke mikakati ya kumfikia mwenzio} kamfano tu hako

Karibu sana ndugu.....acha wacheza ngoma waendelee kutokwa povu hapa....

Sindeny kanyi!!
 
Mie si mchaga ila natamani saan ndg kujumuika pamoja kwa msimu mmoja kwa mwaka..kuliko ile kupishana nyumbani maana mnakuwa hamjuani hasa wakati huu kila mtu mnakuwa bussy na maisha huku mjini.
kwani utamaduni huu unasaidia kupumzisha akili,kujua mahitaji ya jamii yako na kufahamiana kwa vizazi vipya kwakweli ni utamaduni mwema saana.

Nimekwishaanza harakati na ndg zangu tuwe tunakutana kwetu BANGARARA maana mandhari yetu ni nzuri saana na mkoa wetu ni miongoni mwa mikoa inayopendwa saana hasa wakat wa mapumziko ni kule kwa Bele9..

Kwa yale yaliyo ndani zaidi na hayo mi siyafahamu na nayapinga yale yote maovu kama yanakuwapo.
 
Jamani wachagga wote tutakuwa na mkutano kutathmini uchaguzi mkuu. Agenda muhimu ni kuhakikisha mbowe na mtei wanaendelea kuongoza Chama chetu. Kikao kitafanyika Moshi mjini baada ya x- mass .wote mnakaribishwa.Imetolewa na msemaje wa wachagga

Massawe massawe.
 
Ndoroooobo weeh
 
TPA na TRA pamejam..ba mtaenda kwa miguu mwaka huu huko Moshi na hayo ma Range mtayaendesha kwa maji nawaambia!!
 
TPA na TRA pamejam..ba mtaenda kwa miguu mwaka huu huko Moshi na hayo ma Range mtayaendesha kwa maji nawaambia!!

Precision si IPO!na mmiliki wake Naye anaenda nyumbani....sema kingine??Hapo hujaweka Dar Express Metro Machame Osaka Princess Muro na mengine you mention it...una kingine??
 
wanapeleka mrejesho wa vitu
walivyochuma kwenye mikoa ya watu wasiochangamkia fursa
 
Back
Top Bottom