Shukra kwa mwaliko jombaa siyuko mbali na Rombo niko kazi karibu na mpaka kati ya Namanga na Tarakea maeneo ya Kajiado.Inaniuma sana sitaweza kuwa na wenzangu kwa bibi kule eneo za mlima Kenya kunaitwa mukurwe-ine hii krismasi,ndugu na dada zangu wote na 'cousin' zangu wanaelekea huko tarehe 24 wanarudi tarehe mbili Nairobi,mimi hadi tarehe mbili niko kazini.Mwaliko wako ntafatilia shugli zikipungua lakini.Shukran.
Karibu sana ndugu.....acha wacheza ngoma waendelee kutokwa povu hapa....