Head prefect
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 225
- 106
Wachaga fungukeni nn siri ya hii makitu?
wanakwenda kujumuika na wazazi wao kula krismas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaga fungukeni nn siri ya hii makitu?
Huna jipya wewe. Mizimu ipo. Your dead ancestors qualify as Mizimu. Kama wamefungwa how come wanamafanikio hivyo? Ushaambiwa ni utamaduni, wasipoenda kwao walikozaliwa unataka waende wapi?
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.
Teh teh teh!
Shimbonishafo meku!
Wivu gani tena huo meku kwelii!
au yale matope mekundu ya Kiboroloni?
wewe usiwasemee wenzio, kama wewe hauzindiki sio wote hawazindiki. au wachaga wote wanawakilishwa na wewe, mkienda uko wote mnakaa nyumba moja? si kila ukoo unakaa kwao wanavyojua wenyewe, sasa utawasemeaje wenzio? kama wewe haufanyi hayo kwanini unawatetea wenzio ambao tuna uhakika wanafanya hayo?..au tukuelewe kuwa umejaa matope kichwani badala ya ubongo? hivi unasimama kidete kabisa haujui kinachofanywa na wachaga na hapo haujafanya utafiti wachaga wa wapi, wa machame, wa rombo, wa kibosho, wa marangu n.k. hauoni kama hauna akili kichwani?
Teh teh teh!
Shimbonishafo meku!
Wivu gani tena huo meku kwelii!
au yale matope mekundu ya Kiboroloni?
Wanarudsha nchi Nyuma tu
Pendeni au msipende mila ya wenzetu wachaga ni mila ya kuigwa na nchini,ktk kipindi cha kurudi nyumbani ktk sikukuu kama hii ya X Mas wenzetu wanapeana motisha sana yaani unakuta kila mtoto wa kitongoji fulani au mtaa au kata fulani anarudi nyumbani kusherehekea sikukuu pamoja na wanafamilia wote na watu wa kabila na kitongoji kimoja,inatia raha sana kila mtu akirudi nyumbani anarudi na achievement fulani ktk fani flani flani,hiyo husaidia sana kutoa changamoto kwa wengine ambao bado wanapigania kufikia malengo ka hayo.Wenzetu wako mbele sana na hata mimi napendelea family yangu ingechukuwa mfano toka kwa wachaga ili tuweze kufikia maendeleo ya kiaina fulani fulani.Zamani kabla bado sijaamua kuondoka nchini niliwahi fanya kazi ATC upande wa Sales and marketing,lo niliyoyaona hasa kipindi hichi cha ujio wa Xmas yalikuwa ni makubwa sana na hizi contacts zangu zote za wachaga ndipo zilizaliwa ktk kipindi niko nafanya kazi na Airline enzi za Harith Mwapachu kama General Manager na commercial director wake ambaye ndio alikuwa boss wangu Frank Makuaia,jamani tukitaka kwenda mbele sana tuige na tufuate njia wanayopita ndugu zetu wachaga ,kwa hiyo tupende au tusipende wenzetu muelekeo wao uko juu sana.Wenzetu hawana ukristo au uislam wote tabia yao ni moja na inazidi wapeleka mbele.M/Mpamba
Shiicha.
We umeona udongo tu, Kilimanjaro. Waulize watalii wanaona nini?
Hivi kule Tabora kwenu mnajivunia nini?
Umesaahau na vibuyu vya uchawi kuna sehemu huko mtu anakutana na mamba kwenye ndoo ya maji chezea tabora weye.
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.
Matambikooo