Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Huna jipya wewe. Mizimu ipo. Your dead ancestors qualify as Mizimu. Kama wamefungwa how come wanamafanikio hivyo? Ushaambiwa ni utamaduni, wasipoenda kwao walikozaliwa unataka waende wapi?

Bintiwamoyo nimekupenda kwa majibu yako,unakaa wapi vile nikupitie tukale ndafu Moshi?
 
Last edited by a moderator:
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.

mbona wanaoana?vita walivyopogana wenyewe kwa wenyewe ndivyo vilijenga chuki hata ikawa hawaoani,ila kwa sasa vifua vimetakata,tunaoana kawa kawa
 
Tatizo makabilä mengine vijijini kwäö ni vijumba vya mbavu ya umbws na makuti na hakuna umeme walä bäräbärä
 
Kama ulishawahi kutembea maeneo mbalimbali ya kilimanjaro utajua fika kwanini wachaga wanapenda kwenda kwao chrismas, wakienda kutafuta maisha sehemu zingine duniani kote hawasahau kujenga kwao. Na huku uchagani utapata heshima zaidi ukijenga mji wako na kuwa ktk mazingira mazuri. So mwisho wa mwaka wengi wanapenda kusheherekea pamoja na ndugu zao, wazazi na jamaa wa karibu. Ni utamaduni mzuri, mi mwenyewe niko njiani kwenda kula ndafu
 
Teh teh teh!
Shimbonishafo meku!
Wivu gani tena huo meku kwelii!
au yale matope mekundu ya Kiboroloni?

Shiicha.
We umeona udongo tu, Kilimanjaro. Waulize watalii wanaona nini?

Hivi kule Tabora kwenu mnajivunia nini?
 
wewe usiwasemee wenzio, kama wewe hauzindiki sio wote hawazindiki. au wachaga wote wanawakilishwa na wewe, mkienda uko wote mnakaa nyumba moja? si kila ukoo unakaa kwao wanavyojua wenyewe, sasa utawasemeaje wenzio? kama wewe haufanyi hayo kwanini unawatetea wenzio ambao tuna uhakika wanafanya hayo?..au tukuelewe kuwa umejaa matope kichwani badala ya ubongo? hivi unasimama kidete kabisa haujui kinachofanywa na wachaga na hapo haujafanya utafiti wachaga wa wapi, wa machame, wa rombo, wa kibosho, wa marangu n.k. hauoni kama hauna akili kichwani?

Pole ..Acha wivu..
 
Wanarudsha nchi Nyuma tu

Hueleweki mkuu yaani mtu kwenda kusalimia nyumbani kwa mwaka mara moja anarudishaje nchi nyuma. Kwa taarifa yako kama mtu ni mfanyakazi wa serekali huwa anahakikisha huduma anayotoa inapatikana kama kawaida kabla hajaondoka. Mbona wanaoenda kweny ngoma huwaongelei
 
Pendeni au msipende mila ya wenzetu wachaga ni mila ya kuigwa na nchini,ktk kipindi cha kurudi nyumbani ktk sikukuu kama hii ya X Mas wenzetu wanapeana motisha sana yaani unakuta kila mtoto wa kitongoji fulani au mtaa au kata fulani anarudi nyumbani kusherehekea sikukuu pamoja na wanafamilia wote na watu wa kabila na kitongoji kimoja,inatia raha sana kila mtu akirudi nyumbani anarudi na achievement fulani ktk fani flani flani,hiyo husaidia sana kutoa changamoto kwa wengine ambao bado wanapigania kufikia malengo ka hayo.Wenzetu wako mbele sana na hata mimi napendelea family yangu ingechukuwa mfano toka kwa wachaga ili tuweze kufikia maendeleo ya kiaina fulani fulani.Zamani kabla bado sijaamua kuondoka nchini niliwahi fanya kazi ATC upande wa Sales and marketing,lo niliyoyaona hasa kipindi hichi cha ujio wa Xmas yalikuwa ni makubwa sana na hizi contacts zangu zote za wachaga ndipo zilizaliwa ktk kipindi niko nafanya kazi na Airline enzi za Harith Mwapachu kama General Manager na commercial director wake ambaye ndio alikuwa boss wangu Frank Makuaia,jamani tukitaka kwenda mbele sana tuige na tufuate njia wanayopita ndugu zetu wachaga ,kwa hiyo tupende au tusipende wenzetu muelekeo wao uko juu sana.Wenzetu hawana ukristo au uislam wote tabia yao ni moja na inazidi wapeleka mbele.M/Mpamba

tell em...
 
Shiicha.
We umeona udongo tu, Kilimanjaro. Waulize watalii wanaona nini?

Hivi kule Tabora kwenu mnajivunia nini?

Wale mijusi warefu ambao nyalandu alituma timu kwenda kupambanao wale wanaodonoa pande za kichwa Mungu epushia mbali kuna sehemu ni shida kuishi sema basi ufanyeje na ndio nyumbani?
 
Tangu nazaliwa mpaka leo naenda moshi sijawai ona mila inayofanywa, zaidi ya ndugu kukutana na kupeana taarifa ya mambo yaliyojiri mwaka mzima na aliekiuka maadili pia huwa anaonywa na ukoo.


Kwasababu sherehe ya x- mas huwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu basi huwa tunapenda kurudi tulikozaliwa ili kupaenzi.Makabila mengine wanaeza wakawa pia wanaenda lakini kwa kiasi kidogo.Sababu mojawapo ni mambo ya ushirikina mtu hajajenga kwao nyumba inayoeleweka anaogopa kulogwa akiwaza kwenda haoni sehemu nzuri ya kulala.

Kama kuna watu wanafanya izo mila za kishirikina basi ni kwa asilimia ndogo sana.Sidhani kama kundi lote linaloenda moshi shughuli ni moja tu ya kutambika.
 
Umesaahau na vibuyu vya uchawi kuna sehemu huko mtu anakutana na mamba kwenye ndoo ya maji chezea tabora weye.

Shida Hizi zote unadhani anajeuri àtakumbuka kurudi nyumbani
Akafanye nini?
Wakati Kuna mkoba wa uganga alidhulumu kwao, anajua akirudi atakuta mafundi zaidi yake watamtengeneza ...
 
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.

Wanaoana sana sasa hiv, hayo yalikua mambo ya zaman. Nimeshuhudia ndoa kibao na zimedumu
 
Mtu yeyote asiyejua alikotoka hawezi kujua anakokwenda.
Wachagga wanaitumia hii slogan vizuri.
Pia wanaporudi makwao ni muda mzur wa kunyesha jamii ya kwao nini walichopata ktk muda waliokua wakitafuta.
Wachagga ni kabila ambalo wamejitoa kutafuta kwa njia zote,nzuri au mbaya hata ikibidi kumwaga damu lakini wafanikiwe.
Hii moja ya changamoto kubwa kwa kabila hili.
Nadhani kwasasa ni muda muafaka wa Wachagga kujitathimini na kujua ni njia ipi ya mafanikio,nakuhakikisha zile good traits zinakwenda kwa watoto na wajukuu wao kwa ustawi wao.
 
We mjinga sana hivi nani ka kwambia watu wa makabila mengine hawarud kwao ? upeo wako mdogo sana.Hakuna cha elimu wala nini nyumbani ni nyumbani tu, watu wanarudi mikoani kwao siku za sikukuu kama zinazokuja mbeleni. Habari yako iko so stereotypical
 
Wengine wakirudi vijijini kwao wanapigwa misumar hawaweza tena kurudi mjini.
 
Back
Top Bottom