lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,496
- 1,057
Kam kweli Mwenyekiti kasomo JF na kuona kuna tatizo basi ni fanikio kubwa kwa JF.
Kila mtu huwa anafanya makosa na muhimu ni kusikiliza ushauri wa wengine na kujifunza. Hata mimi nampongeza mwenyekiti kwa hilo.
Si bora wakupige misumari watakuwa wamekuonea huruma kuna jamaa masikini ya Mungu alikuja mjini kutafuta maisha enzi hizo za miaka ya tisini vijana wengi walikimbilia sana ulaya akiwa mmoja wao mwee mtoto wa watu kajikusanya kaja na senti za kwenda jenga kwao alipozaliwa yaani huko ukerewe kwani hata hiyo nyumba aliyojenga alilala aliingizwa akiwa marehemu hata ndoto yake haikutimia watu wabaya sana hawa.