Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kam kweli Mwenyekiti kasomo JF na kuona kuna tatizo basi ni fanikio kubwa kwa JF.

Kila mtu huwa anafanya makosa na muhimu ni kusikiliza ushauri wa wengine na kujifunza. Hata mimi nampongeza mwenyekiti kwa hilo.

Si bora wakupige misumari watakuwa wamekuonea huruma kuna jamaa masikini ya Mungu alikuja mjini kutafuta maisha enzi hizo za miaka ya tisini vijana wengi walikimbilia sana ulaya akiwa mmoja wao mwee mtoto wa watu kajikusanya kaja na senti za kwenda jenga kwao alipozaliwa yaani huko ukerewe kwani hata hiyo nyumba aliyojenga alilala aliingizwa akiwa marehemu hata ndoto yake haikutimia watu wabaya sana hawa.
 
Na hii haipo kwa wachaga tu ht baadhi ya makabila wanayo...
Lucifer anajua hujui sheria na Mungu hawezi ingilia kati bila mhusika kumuomba Mungu coz ni maagano/makubaliano ambayo yalifanywa na waliotutangulia na(mizimu/miungu ya familia/ukoo) so lucifer ana uhalali ...... biblia inasema ' Mungu analiangalia neno lake apate kulitimiza' hawez kupingana na neno lake!

Inshot shetani anatumia kifungo cha mila na desturi kushambulia watu...so ndo maana sio kila mila desturi msingi wake ni mzuri!

Wewe kijijini kwenu ni wapi? Je hauna ndugu huko? Je huwa unaenda? Huwa unaenda kutambika? Je kama huendi unaogopa nini? Au hakuna mahala pa kufikia? Au unaogopa kupigwa msumari?
 
Unarudi kwenu mwisho wa mwaka Kama unasehemu ya kushukia, unakuta Jamaa mjini anaishi mails ha ya starehe lakini kijijini ata kuboresha nyumba ya familia ambayo unaweza shukia hakuna!! Wa chili a Kujenga ya kwako, so unakuta mtu awezi kwenda huko

Umekuwa ni utamaduni wa watu wa kasikazini hususani Wachaga kwenda mapumzikoni kila mwisho wa mwaka
Nimejaribu kufikiria ni kwanini makabila mengine hayana utamaduni huu mzuri kama wachaga?jibu sahihi bado sijapata ila nimejaribu kuhisi labda ni kwa sababu Wachaga wengi wamesoma?
Au mkoa wa Kilimanjaro upo mbali sana kiasi cha wachaga kushindwa kwenda mara kwa mara?
Lakini nimegundua hata Morogoro na Tanga sio mbali lakini Waluguru na Wasambaa hua hawaendi makwao mwisho wa mwaka so umbali na ukaribu kwangu ni vigezo vilivyokosa nguvu.
Nini siri ya Wachaga na utamaduni huu mzuri wa kwenda mapumzikoni mwisho wa mwaka?
Kwa nini makabila mengine wamekuwa wazito kutekeleza swala hili?
Mjadala upo wazi![/QUOTE]
 
Nyumbani pazuri sana Mungu anisaidie niweze kujumuika na familia yangu pamoja Krismasi ijayo.
 
Wewe kijijini kwenu ni wapi? Je hauna ndugu huko? Je huwa unaenda? Huwa unaenda kutambika? Je kama huendi unaogopa nini? Au hakuna mahala pa kufikia? Au unaogopa kupigwa msumari?

Kijijini kwetu kunaitwa 'kwansama'
Huwa naenda /tunaenda ila sio kwa masharti ya mizimu/miungu ya ukoo km hapo awali coz family yangu ilishaijua kweli na ikawaweka huru...so hatufanyi hayo mambo ya mila tena ya kutambika nk..
Tunaenda muda wowote sio ule waliopanga wao iki kumtii lucifer kupitia kifungo cha mila na desturi ikisimamiwa na mizimu. .....
Hili somo ni pana sana ili ulielewe inabidi na biblia uijue na ujue miungu ni nn.....kumbuka ht lucifer upande wa giza wanaomwabudu wanamtambua km mungu!
 
Long live chagga tribe.
Merry Xmas &happy New year2015 to y'all chagga around da globe.
Well Come Home.
 
Kijijini kwetu kunaitwa 'kwansama'
Huwa naenda /tunaenda ila sio kwa masharti ya mizimu/miungu ya ukoo km hapo awali coz family yangu ilishaijua kweli na ikawaweka huru...so hatufanyi hayo mambo ya mila tena ya kutambika nk..
Tunaenda muda wowote sio ule waliopanga wao iki kumtii lucifer kupitia kifungo cha mila na desturi ikisimamiwa na mizimu. .....
Hili somo ni pana sana ili ulielewe inabidi na biblia uijue na ujue miungu ni nn.....kumbuka ht lucifer upande wa giza wanaomwabudu wanamtambua km mungu!

We utakuwa ni mvaa hijabu tena zile nyeusi "t"_

Hapa unadanganya unakwenda kwenu wakati hata Xmass hamsheherekei.
Ukristo hautaki wapendao uongo Na kuufanya. Sehemu yao ni jehanum.
Kuchangia mada kwa chuki binafsi dhidi ya wachagga. Bado roho yako itakuwa Inamtukuza lusifa.
Hata huko TB Joshua Na wanaijeria wenzake wamepiga hatua lakini Wanazo mila.
Pole sana kama uliwahi tendwa Na mchagga katika maisha yako.

Wewe sio mchagga. How absurd!?
Hata hao wazungu walioleta dini Na wayahudi wanazo mila zao za asili.mila ni somo refu sana.
Wachagga waliacha mila Za jadi baada ya kwenda shule Na kuamini ukristo. Uchawi hauna urafiki Na maendeleo. Fanya utafiti binafsi katika makabila Tanzania. Ndo utajua makabila gani yana athari za uchawi Na ushirikina. Wacha watu washeherekee sikukuu ya kuzaliwa masiha.

Ni kama avatar uliyoweka wengine wanadhani ni wa kiume. So much confusion.
 
Habari wana JamiiForum

Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusiana na mila na desturi za wachagga mathalani utaratibu wa kurejea nyumbani kila ifikapo mwisho wa mwaka hasa sikukuu ya Krismas inapokaribia.

Kwa maana hiyo basi kama tumeshafahamu kuwa hizo ni taratibu zao basi tufahamishane kuhusiana na makabila mengine nao huwa wanakuwa wapi msimu huu wakati wachagga wakihama mijini kuelekea vijijini kwao kusheherekea sikukuu pamoja na ndugu jamaa na marafiki zao.

*Mjadala Upo Wazi Karibuni*
 
makabilia mengine wanakuwa wanakwenda Dar kusherehekea Xmass
 
We mpuuzi sana kufikiri makabila yote 123 watu wote 45m hawaendi makwao eti mpaka ije Xmas,kwahiyo hata wewe kwenda kwenu mpaka ije Xmas vinginevyo labda uitiwe msiba? kwenu kwenu na mda wowote kasalimie unapopata mda,una uhakika gani kama hiyo Xmas utakuwepo? waacheni watu wafanye wanayoyaweza vyovyote vile ni sawa iwe Xmas,Pasaka,Idd,Maulid,mwezi wa6 n.k it's okay ..lakini pia,hivi unamaanisha siku hizi pale Ubungo mikoa mingine mabasi hayaendi yote yamehamia Kilmnjr ama hiyo mikoa mingine yanayokwenda unahisi mabasi hayana watu? ama unahisi yanayopakiwa humo ni mawe na kokoto?
 
Habari wana JamiiForum

Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusiana na mila na desturi za wachagga mathalani utaratibu wa kurejea nyumbani kila ifikapo mwisho wa mwaka hasa sikukuu ya Krismas inapokaribia.

Kwa maana hiyo basi kama tumeshafahamu kuwa hizo ni taratibu zao basi tufahamishane kuhusiana na makabila mengine nao huwa wanakuwa wapi msimu huu wakati wachagga wakihama mijini kuelekea vijijini kwao kusheherekea sikukuu pamoja na ndugu jamaa na marafiki zao.

*Mjadala Upo Wazi Karibuni*

Hiyo mila yenu ya kwenda Christmas inatutesa wengine, mnapotafuta nauli kwa kuvamia watu njiani na kuwapora, kupora madukani na sehrmu mbalimbali kwa sababu Tu ratiba ya kwenda kwenu christmas.
Acheni hizo bana....
 
We mpuuzi sana kufikiri makabila yote 123 watu wote 45m hawaendi makwao eti mpaka ije Xmas,kwahiyo hata wewe kwenda kwenu mpaka ije Xmas vinginevyo labda uitiwe msiba? kwenu kwenu na mda wowote kasalimie unapopata mda,una uhakika gani kama hiyo Xmas utakuwepo? waacheni watu wafanye wanayoyaweza vyovyote vile ni sawa iwe Xmas,Pasaka,Idd,Maulid,mwezi wa6 n.k it's okay ..lakini pia,hivi unamaanisha siku hizi pale Ubungo mikoa mingine mabasi hayaendi yote yamehamia Kilmnjr ama hiyo mikoa mingine yanayokwenda unahisi mabasi hayana watu? ama unahisi yanayopakiwa humo ni mawe na kokoto?

mkuu naona unatokwa povu kwa sababu mada yangu hujaielewa vizuri.

Kama wewe ni mtembeleaji mzuri wa huu mtandao utagundua kuna mada nyingi zinazowazungumzia wachagga kuwa na tabia ya kurejea vijijini kwao mwisho wa mwaka kusheherekea sikukuu ya X-mass.

Kwa mantiki hiyo wachagga peke yao ndiyo wameonekana wanarudi makwao, Je vipi kuhusu makabila mengine.

Wasukuma
wahaya
waluguru
wamakonde
wakinga n.k nao vipi au wote wanarejea vijijini mwao kila mwisho wa mwaka? Na kama siyo wanakuwa wapi?
 
Hiyo mila yenu ya kwenda Christmas inatutesa wengine, mnapotafuta nauli kwa kuvamia watu njiani na kuwapora, kupora madukani na sehrmu mbalimbali kwa sababu Tu ratiba ya kwenda kwenu christmas.
Acheni hizo bana....

siyo kweli mkuu, tumefundishwa kumuamini Mungu pamoja na kufanya kazi kwa bidii ndiyo maana mafanikio tunayaona katika Maisha yetu.

Nakushauri ondoa fikra hizo potofu nawe utafanikiwa kama walivyofanikiwa wachagga.
 
Hiyo mila yenu ya kwenda Christmas inatutesa wengine, mnapotafuta nauli kwa kuvamia watu njiani na kuwapora, kupora madukani na sehrmu mbalimbali kwa sababu Tu ratiba ya kwenda kwenu christmas.
Acheni hizo bana....

Acha fitna mkuu hii siyo kweli.
 
Tunabaki mjini kutafuna nyumba ndogo zao, mademu wao na pia kunufaika na kushuka kwa bei ya kitimoto pamoja na kulala milango wazi wezi hakuna
 
mkuu naona unatokwa povu kwa sababu mada yangu hujaielewa vizuri.

Kama wewe ni mtembeleaji mzuri wa huu mtandao utagundua kuna mada nyingi zinazowazungumzia wachagga kuwa na tabia ya kurejea vijijini kwao mwisho wa mwaka kusheherekea sikukuu ya X-mass.

Kwa mantiki hiyo wachagga peke yao ndiyo wameonekana wanarudi makwao, Je vipi kuhusu makabila mengine.

Wasukuma
wahaya
waluguru
wamakonde
wakinga n.k nao vipi au wote wanarejea vijijini mwao kila mwisho wa mwaka? Na kama siyo wanakuwa wapi?

Wanakuwa walinzi wa nyumba za wachagga.
 
Back
Top Bottom