kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,028
Makabila mengine huwa yanabababika mijini. Waende kwao vijijini walikususa na hawana nyumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuwa walinzi wa nyumba za wachagga.
Makabila mengine huwa yanabababika mijini. Waende kwao vijijini walikususa na hawana nyumba?
Ukweli wa kuongezeka kwa uharifu mwezi nov- dec , ambao kimsingi ni wachaga wakitafuta fedha kwenda kuhesabiwa wewe waita ni fitna ?
We mpuuzi sana kufikiri makabila yote 123 watu wote 45m hawaendi makwao eti mpaka ije Xmas,kwahiyo hata wewe kwenda kwenu mpaka ije Xmas vinginevyo labda uitiwe msiba? kwenu kwenu na mda wowote kasalimie unapopata mda,una uhakika gani kama hiyo Xmas utakuwepo? waacheni watu wafanye wanayoyaweza vyovyote vile ni sawa iwe Xmas,Pasaka,Idd,Maulid,mwezi wa6 n.k it's okay ..lakini pia,hivi unamaanisha siku hizi pale Ubungo mikoa mingine mabasi hayaendi yote yamehamia Kilmnjr ama hiyo mikoa mingine yanayokwenda unahisi mabasi hayana watu? ama unahisi yanayopakiwa humo ni mawe na kokoto?
Makabila mengine huwa yanabababika mijini. Waende kwao vijijini walikususa na hawana nyumba?
Ukweli wa kuongezeka kwa uharifu mwezi nov- dec , ambao kimsingi ni wachaga wakitafuta fedha kwenda kuhesabiwa wewe waita ni fitna ?
huwa wanaenda kufanza MATAMBIKO na si kusherehekea x-mass
Huu ndio msimu wa kufuatilia yule demu uliyeporwa na mangi...kakuachia mjini kaenda zake kuhesabiwa ushindwe mwenyewe
huwa wanaenda kufanza MATAMBIKO na si kusherehekea x-mass
mkuu naona unatokwa povu kwa sababu mada yangu hujaielewa vizuri.
Kama wewe ni mtembeleaji mzuri wa huu mtandao utagundua kuna mada nyingi zinazowazungumzia wachagga kuwa na tabia ya kurejea vijijini kwao mwisho wa mwaka kusheherekea sikukuu ya X-mass.
Kwa mantiki hiyo wachagga peke yao ndiyo wameonekana wanarudi makwao, Je vipi kuhusu makabila mengine.
Wasukuma
wahaya
waluguru
wamakonde
wakinga n.k nao vipi au wote wanarejea vijijini mwao kila mwisho wa mwaka? Na kama siyo wanakuwa wapi?
Huelewi mkuu,nimekuuliza sasa umekwepa kujibu,1.Kwasahivi pale Ubungo ni kweli ukiondoa mabus kwenda uchaggani hakuna mabusi mengine yanayosafiri kwenda Mbeya? ama na Mbeya wanaishi wachagga,hakuna mabusi yanaenda Mwanza,Iringa,Kagera n.k ama huko kote ni Kilimanjaro? 2.Unafikiri anayekwenda kwao Idd,Pasaka,June n.k unaona huo si mda muafaka kwao? hebu niulize mie nimeenda lini home na wangapi pale Ubungo wanasafiri kwenda Bkb na magari yamejaa tayari siku3 mbele,hao ni nyani?
Jamani si kauliza tuu, sasa mbona unalalamika sana ndugu? Kwani katukana??
sasa unakuja kwenye mstari.
Kwa hiyo tuseme siyo wachagga peke yao wanaokwenda vijijini kwao mwisho wa mwaka ingawa kwa wachagga imekuwa Jadi.
Swali gani ambalo sijakujibu bado.