Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Makabila mengine huwa yanabababika mijini. Waende kwao vijijini walikususa na hawana nyumba?
 
Makabila mengine huwa yanabababika mijini. Waende kwao vijijini walikususa na hawana nyumba?

aisee mkuu nakushukuru sana kwa kutokuwa mnafki maana hata mimi nilishafanya utafiti nikagundua hiyo kuwa ni moja ya sababu.
 
Wachagga washazoea kukaa miji mikubwa kama new York Toronto dsm Nairobi Dubai Johannesburg Moscow Beijing na kwingineko duniani so lazima mwisho wa mwakaa waende moshi kubadilisha mazingira na kupimzisha akil ambayo inakua imechoka kwa kuhesabu pesa mwaka mzima hii ni tofaut na makabila mengine ambao wao mwaka mzima wanatafuta pesa il waje mjin xmsss kuangalia magorofa na bahar 🙂 on.ma way to moshi now.. ndani.ya Kilimanjaro express
 
Ukweli wa kuongezeka kwa uharifu mwezi nov- dec , ambao kimsingi ni wachaga wakitafuta fedha kwenda kuhesabiwa wewe waita ni fitna ?

unataka kusema wachagga wote ni wezi? Je makabila mengine hakuna wezi pia?
 
We mpuuzi sana kufikiri makabila yote 123 watu wote 45m hawaendi makwao eti mpaka ije Xmas,kwahiyo hata wewe kwenda kwenu mpaka ije Xmas vinginevyo labda uitiwe msiba? kwenu kwenu na mda wowote kasalimie unapopata mda,una uhakika gani kama hiyo Xmas utakuwepo? waacheni watu wafanye wanayoyaweza vyovyote vile ni sawa iwe Xmas,Pasaka,Idd,Maulid,mwezi wa6 n.k it's okay ..lakini pia,hivi unamaanisha siku hizi pale Ubungo mikoa mingine mabasi hayaendi yote yamehamia Kilmnjr ama hiyo mikoa mingine yanayokwenda unahisi mabasi hayana watu? ama unahisi yanayopakiwa humo ni mawe na kokoto?

Jamani si kauliza tuu, sasa mbona unalalamika sana ndugu? Kwani katukana??
 
huwa wanaenda kufanza MATAMBIKO na si kusherehekea x-mass
 
mkuu naona unatokwa povu kwa sababu mada yangu hujaielewa vizuri.

Kama wewe ni mtembeleaji mzuri wa huu mtandao utagundua kuna mada nyingi zinazowazungumzia wachagga kuwa na tabia ya kurejea vijijini kwao mwisho wa mwaka kusheherekea sikukuu ya X-mass.

Kwa mantiki hiyo wachagga peke yao ndiyo wameonekana wanarudi makwao, Je vipi kuhusu makabila mengine.

Wasukuma
wahaya
waluguru
wamakonde
wakinga n.k nao vipi au wote wanarejea vijijini mwao kila mwisho wa mwaka? Na kama siyo wanakuwa wapi?

Huelewi mkuu,nimekuuliza sasa umekwepa kujibu,1.Kwasahivi pale Ubungo ni kweli ukiondoa mabus kwenda uchaggani hakuna mabusi mengine yanayosafiri kwenda Mbeya? ama na Mbeya wanaishi wachagga,hakuna mabusi yanaenda Mwanza,Iringa,Kagera n.k ama huko kote ni Kilimanjaro? 2.Unafikiri anayekwenda kwao Idd,Pasaka,June n.k unaona huo si mda muafaka kwao? hebu niulize mie nimeenda lini home na wangapi pale Ubungo wanasafiri kwenda Bkb na magari yamejaa tayari siku3 mbele,hao ni nyani?
 
sasa unakuja kwenye mstari.

Kwa hiyo tuseme siyo wachagga peke yao wanaokwenda vijijini kwao mwisho wa mwaka ingawa kwa wachagga imekuwa Jadi.

Swali gani ambalo sijakujibu bado.
 
Jamani si kauliza tuu, sasa mbona unalalamika sana ndugu? Kwani katukana??

Nampa elimu na ufafanuzi juu unajua watoto wa siku hizi wanakariri tu na utaonekana hueleweki pale utakapoingia deep katika hiyo aspect,utasikia eheh mbona sivyo kumbe wao ndo wako shallow
 
Sisi tunaita time for family reunion. Ndugu,marafiki majirani toka kila kona ya nchi wanakuwa nyumbani. Ni wakati wa kufurahi pamoja.
 
Jamani msibishane sana. Kati ya siku kuu zote za mwaka, xmass ndiyo kubwa na ambayo inasherehekewa na kila Taifa. Duniani kote wakati wa xmass baadhi ya ofisi hufungwa!

Kipindi cha December, hali ya hewa Kilimanjaro ni nzuri sana, baridi/joto kwa mbali. Mfano hapa dar joto kali sana. Pia infrastructure kilimanjaro inaruhusu. Muda si mrefu kila corner ya mkoa wa Kilimanjaro itakuwa mji, tunaachana na vijiji. Hata watoto wetu wakifika huko hutamani kubaki jinsi kulivyo kuzuri, hakuna matatizo ya Maji, umeme, barabara maduka kila sehemu.
 
sasa unakuja kwenye mstari.

Kwa hiyo tuseme siyo wachagga peke yao wanaokwenda vijijini kwao mwisho wa mwaka ingawa kwa wachagga imekuwa Jadi.

Swali gani ambalo sijakujibu bado.

Unajua kuna kuongea kitu kwa maana ya ili wengine waonekane ni tofauti sana na wewe,yawezekana kuna mahala uko hivyo ila watu wanatofautiana,wengine ni kuwatangaza sana huku wengine wakifanya hivyo ila kimya kimya,sasa kwasababu we wa kutangaza utaonekana ni kweli lakini ukija ukajichunguza utagundua kumbe hata wengine nao wamo sema wao hawataki kujitangaza kwasababu kwenda kwenu mtu si matangazo,kwetu sie tunaoenda mda wowote unatangaza ili iweje na unamtangazia nani? nimekuuliza hivi, sasa hivi mabus ya Mwanza,Dom,Tabora,Shy yamesimama barabarani yamebaki ya Uchaggani tu? Acheni dharau zenu kwa watu
 
Back
Top Bottom