Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Haya yote ni majibu, ukweli hasa ni kwenda kufanya matambiko, hawa watu wanaheshimu matambiko sana, japo sio wote kwa 100%.
Wengine wanaenda kuungana na familia zao kwani baadhi yao huacha wake zao nyumbani, na wengine wanaenda kuangalia maendeleo ya majengo yao yana hali gani kwani kiukweli hii mijamaa imeficha mijengo ya uhakika mgombani.
Unaweza kumdharau mchaga kwa mwonekano mjini au kwa biashara duni anayoifanya town but ukifika kwake hutaini alivyojenga mjengo wa nguvu.
Ikiwa mtu kawekeza kwao lazima arudi akapacheki
umesema ukweli mkuu asiyekwenda kwao hajawekeza huko, msahau kwao ni mtumwa, kabila kubwa kama LA wahaya linarudi nyuma kwa kasi sababu ya kusahau kwao
 
KAMA ni hivyo kwanini hawaendi wakati wa Pasaka?

Mkuu usiumizwe kichwa na wachaga,ni washirikina hatari,huwa wanaenda kwao kuomba mizimu iwabariki kwa kufanya kafara ya mbuzi,amini usiamini mwezi huu kila familia inachinja mbuzi huko uchagani kwa kafara ili kuita mizimu,hawana lolote zaidi ya uchawi.
 
Wanaenda kufanya ushirikina kwa kutoa kafara ya kumwaga damu ili kutoa nuksi
 
wanaenda kuongea na ndugu zao ambao wako makaburini si unajua kule mpaka tumtoe mtu ndio mafanikio yanakuja kwa kasi?jamaa wachawi hakuna mfano kweny maduka yao utakuta vitoto vya kichaga vingii vile hua vipo kwa ajili ya shughuli maalum
 
Wakikuyu wamefanya nini tena mkuu?

Wanatusema hivo hivo tu wanavowasema wachagga.Eti mkikuyu utamuona yupo tu anaishi maisha kawaida wakati yeye ni 'landlord' mitaa ya kifahali.Eti sie wakikuyu pesa zinabanwa ikifika ni starehe huku fedha zimejazana benki.Afu hayo mambo ya kuihama nairobi mwisho wa mwaka wengine wanasema wakikuyu wanaenda tambiko mlima Kenya.Hii pombe mbege inatengenezwa na asali?Maanake kwa wakikuyu kuna pombe kwa jina muratina inatengenezwa na asili na vitu flani ivi vinamea kwenye mti unaitwa 'sausage tree' kwa kimombo,kwa kikuyu miratina.Wanasema mkikuyu anakunywa pombe hii kuzidia akifika nyumbani mwisho wa mwaka.Na utamjua mkikuyu kwani hanywi pombe bila kumwaga kiasi chini kwenye ardi kwa kupenda tambiko kwa mababu zao.Mie kama mkikuyu yananiudhi maneno haya mara zingine japo mengi ni ya kweli.Niliposoma yanayosemwa kuhusu wachagga nikashangaa,mbona ni kama sisi tu!
 
Hakika kama ndio hivyo basi mnafanana na wachagga kwa kiwango kikubwa.
 
wanaenda kuongea na ndugu zao ambao wako makaburini si unajua kule mpaka tumtoe mtu ndio mafanikio yanakuja kwa kasi?jamaa wachawi hakuna mfano kweny maduka yao utakuta vitoto vya kichaga vingii vile hua vipo kwa ajili ya shughuli maalum

Huu ni ukweli usiozungumzwa kabisa. Asante mkuu kwa kuthubutu.
 
Mkuu usiumizwe kichwa na wachaga,ni washirikina hatari,huwa wanaenda kwao kuomba mizimu iwabariki kwa kufanya kafara ya mbuzi,amini usiamini mwezi huu kila familia inachinja mbuzi huko uchagani kwa kafara ili kuita mizimu,hawana lolote zaidi ya uchawi.

Mbona uchawi wenu hamuusemi
 
Hakika kama ndio hivyo basi mnafanana na wachagga kwa kiwango kikubwa.

Kweli nimeona wakikuyu tunafanana kabisaa kitabia na wachagga hata maumbile niliwahi ona wako kama sisi.Bahati yao wachagga hawajaenezewa chuki na wenzao watz kama ilivyo kwa wakikuyu maanake huku Kenya ni shiida.Wanaotaka kujiendeleza kwa njia za kinafik kisiasa wametumia kigezo cha kuwalaumu wakikuyu kwa chochote kile kibaya kinachoendelea Kenya.Yaani wengine wanadanganywa eti maisha yao hayatabadilika kisiasa eti kisa wakikuyu wamefanya hili,mara wamefanya lile.Eti wanashikilia mali yote ya nchi,kwao wamejenga na ni kuzuri kwa sana.Cha kushangaza hakuna serikali tangu uhuru imewasaidia wakikuyu,hata zinazoongozwa na mmoja wao!Yote wamefanya kwa jasho lao na kwa kujituma kibiashara.Pendeni ndugu zenu wachagga aisee.Uzuri kwenu tz hamkubali kuongozwa na ukabila.
 
Sisi wengine huwa hatungoji mpaka mwisho wa mwaka muda wowote tunaenda makwetu.

Sasa ukijiendea siku yeyote yule nduguyo wa Bukoba na familia yake na yako mtaonana lini??

Mipango ya maendeleo kusaidia hapo kijijini kwenu mtaifanyaje kama wenyeji ambao mnaishi mbali na hapo kila mtu anakuja kivyake na kwa azma yake??

Wachagga wakienda December wanakutana na ndugu, jamaa na rafiki zao ambao wametoka kona mbalimbali za dunia, na huo ndio wakati hasa wa kukaa pamoja ili muweze kutatua changamoto zilizoko hapo kijijini kwenu. Mimi kijijini kwangu mwaka juzi tulikuja kugundua kwamba wanafunzi wa sekondari wanaosoma katika shule ya kata hapo pamoja na wale wa shule ya msingi hawana Maktaba ya kusoma, tukajenga Maktaba mpya ya kijiji na inaendeshwa electronically, ina vitabu mpaka vya vyuo vikuu, Computer Lab na kila kitu kinachohitajika katika Library. Wale wa vijiji vya jirani zetu baada ya kuona sisi tumefanya hayo nao wameanza kujenga Maktaba kwenye vijiji vyao.. Na huko nyuma pia vimefanyika vitu vingi kwa utaratibu huu, haya yanawezekana kwasababu ya Umoja..

Sasa kila mtu akiwa anaenda kivyake hamtapata wakati wa kukaa kuwatatulia shida zao mnaowaacha huko, na tunajua tukirudi mijini watu wanakuwa busy na maisha yao.. Ndio maana vijiji vingi vya nchi hii vina matatizo lukuki angali wana watoto na watu wakubwa huku mijini lakini hakuna anayejali
 
Wanatusema hivo hivo tu wanavowasema wachagga.Eti mkikuyu utamuona yupo tu anaishi maisha kawaida wakati yeye ni 'landlord' mitaa ya kifahali.Eti sie wakikuyu pesa zinabanwa ikifika ni starehe huku fedha zimejazana benki.Afu hayo mambo ya kuihama nairobi mwisho wa mwaka wengine wanasema wakikuyu wanaenda tambiko mlima Kenya.Hii pombe mbege inatengenezwa na asali?Maanake kwa wakikuyu kuna pombe kwa jina muratina inatengenezwa na asili na vitu flani ivi vinamea kwenye mti unaitwa 'sausage tree' kwa kimombo,kwa kikuyu miratina.Wanasema mkikuyu anakunywa pombe hii kuzidia akifika nyumbani mwisho wa mwaka.Na utamjua mkikuyu kwani hanywi pombe bila kumwaga kiasi chini kwenye ardi kwa kupenda tambiko kwa mababu zao.Mie kama mkikuyu yananiudhi maneno haya mara zingine japo mengi ni ya kweli.Niliposoma yanayosemwa kuhusu wachagga nikashangaa,mbona ni kama sisi tu!

Wakikuyu ni kama Wachagga kwa Tz... Na Wajaluo ni kama Wahaya kwa Tz...

Kabila hizi mbili zinafanana karibia kila kitu.. Wakati Mkikuyu ndiye mfanya biashara mkubwa mzawa hapo Kenya, Mchagga ndiye mfanya biashara mkubwa mzawa hapa Tanzania.. Wakati Mjaluo akiwa ana thamini na kuwa proud na elimu yake hata kama analala nyumba ya udongo, ndivyo Wahaya wanavyojidai na elimu hata kama analala njaa kila siku..
 
Ni kipindi muafaka kukutana na ndugu na jamaa kufurahi pamoja. Pia ni kipindi cha kutambulishana. Kuna watoto wengi wamezaliwa sehemu tofauti na hawawajui ndugu wengine so muda mwafaka kuwatambulisha kwa ndugu ili wafahamiane wasije oana. Pia mazingira ya uchagani ni mazuri sana kwa mapunziko. Yanavutia sana. ukianzia na mlima KLM, migomba, kahawa, miti miti, nyumba nzuri zilizopambwa na maua na fance za maua, ukoka au nyasi zilizo katwa vizuri kuelekea nyumba za watu, barabara nzuri, mbege, lafuzi nzuri ya wachaga nk

Mh na zaidi ya hapo nadhani,msingekubali kwenda huko at any cost.
 
makabila mengi hawapendi kurudi kwao koz wanaogopa ushirikina vijijini kwao...wachaga hawafanyi ushirikina kuuana uana...watafanya tambiko for biashara..watakutana na ndugu zao na kuweka plans za maendeleo zaidi.
 
Back
Top Bottom