Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kipindi muafaka kukutana na ndugu na jamaa kufurahi pamoja. Pia ni kipindi cha kutambulishana. Kuna watoto wengi wamezaliwa sehemu tofauti na hawawajui ndugu wengine so muda mwafaka kuwatambulisha kwa ndugu ili wafahamiane wasije oana. Pia mazingira ya uchagani ni mazuri sana kwa mapunziko. Yanavutia sana. ukianzia na mlima KLM, migomba, kahawa, miti miti, nyumba nzuri zilizopambwa na maua na fance za maua, ukoka au nyasi zilizo katwa vizuri kuelekea nyumba za watu, barabara nzuri, mbege, lafuzi nzuri ya wachaga nk
Jamani mnisaidie hili swali, mbona hawa wenzetu wanapenda sana kusafiri kwa mkupuo kipindi hiki cha mwisho wa mwaka hasa Krisimasi,mtueleze huko moshi kuna kitu gani cha tofauti na mikoa mingine?
Mnasababisha hadi nauli zinapanda bila sababu yoyote ile.
cc miss chagga
Matambiko na kupiga mbege....!
sisi tunapenda kushirikiana wakati wa sikukuuu tunakaa pamoja tunakula pamoja.. na ni jambo linalotijengea ushrikiano kwa ndugu kukaa pamoja..... [na pia inafanya tunapata changamoto pale unapoona mwenzio kaja na land cruser we unakipasso lazima mwakani uweke mikakati ya kumfikia mwenzio} kamfano tu hakoJamani mnisaidie hili swali, mbona hawa wenzetu wanapenda sana kusafiri kwa mkupuo kipindi hiki cha mwisho wa mwaka hasa Krisimasi,mtueleze huko moshi kuna kitu gani cha tofauti na mikoa mingine?
Mnasababisha hadi nauli zinapanda bila sababu yoyote ile.
cc miss chagga
Kikuyu na mchaga tabia zinafanana bila shaka, nao wanatabia ya kurudi makwao msimu huu, tabia za kusaka manoti wanafanana pia
pasaka ni kuwa mwaka unaanza na tumelipa ada za watoto mipango ndiyo inaanzaKAMA ni hivyo kwanini hawaendi wakati wa Pasaka?
Wachagga wamebarikiwa na ndiyo sababu wanatajwa katika ukoo mmoja katika Biblia. Soma Hesabu 3: 20
Duh!Jombaa,wakikuyu pia hivo hivo,ata mambo ya kuabudu mungu aliye na makao mlima Kenya kama tu wayahudi wakati wa Musa alipokuwa anapanda mlimani kuongea na Mungu.Pia kuna jambo wanahistoria wamelifatilia kwa sana ile mtoto anapozaliwa Ukikuyu utasikia wamama wakipiga ngemi za kumkaribisha mtoto kwa nguvu,aaaririririririri,mara tatu kwa mtoto msichana,mara nnne kwa mtoto wa kiume.Imefananishwa na aylee,aylee,aylee wanavyosema wayahudi kwenye sinagogi yaani asifiwe asifiwe asifiwe(yahweh).
Wewe wadanganye wasiojua uchagani, hakuna kabila linaongoza kwa ushirikina kama wachaga. Huku mgombani mmewafanya ndug zenu matahira vyakutosha.
Sasa mkuu inabidi uje Rombo siku moja tuongee....una mengi ya kufanana na sisi so kuna haja ya kukutana na Ku share experience.....Karibu Rombo maana si kila kitu cha kuweka hapa...