Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
 
Kama una urafiki na mwanaume au mwanaume tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Ata Mimi Nina mafua

Huku Tanganyika nilipo karibu kila kaya ni mwendo wa mafua

Makongoro yamepanda bei
 
Back
Top Bottom