Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Mapenzi ni tukio ambalo wengi huwa hatujuli. Ukifanya mapenzi unawaza kile kitendo cha kuingiliana tu kimwili. But huwa ni zaidi ya hapo.
Mapenzi ni hisia, imani na sex huja mwisho kabisa.
Hapa ndo watu hupotelewa na ubinadamu.
Ukiwa kwenye mapenzi ya kweli na mwanaume ama mwanamke yumkini utahisi chochote na kikawa ni kweli mfano akicheat hata kama upo naye mbali kama mwanza na dar utajua leo mpenzi wangu anacheat ama kacheat.
Sababu inayoungana ni nafsi zaidi kuliko intercourse. Nafsi huongea katika ulimwengu wa roho. Na ulimwengu wa roho hauna physical boundaries hivo huweza kutafta na kuwepo mahali popote pale bila mhusika kulazimika kwenda eneo hilo
Kweli kabisaa
 
Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
[emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Back
Top Bottom