To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
- Thread starter
- #21
Ndo jifunze kujikaza mkuu....siyo Lazima Kila tobo ukojoeKweli kabisa.....lakini wanaume wengi hatuezi kua marafiki na wanawake.....
Mi wanawake wote nlikua marafiki nao niliwasigelea[emoji23] labda kama sijamfeel au tunajuana kwa ajili ya ishu maalum tu