Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu,mambo yote yatapita lakini neno litasimama.....neno halijawahindanganyaShida watu tunafanya tendo la ndoa wkt hatupo kwenye ndoa. Kama tendo Ili lingesubiri mpk ndoa ingemake sense. Otherwise watu watakula tu na kupita Kule. Maana tumeharibu uhalisia wa tendo la ndoa.
Kusex nje ya ndoa sikuhizi ni fashion?🤳Inategemea, ila kama wote ni 35+ na mnajielewa hakuna shida; mfano wengine tulishaoa, ila tunahitaji kampani tu iliyo active katika kusongesha haya maisha, kama mtakutana wote ni watu wazima na mnajielewa kunakuwa hakuna shida.
Nimekuota leo😇Kama una urafiki na mwanaume au mwanaume tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.
Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.
Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Hapo kuhusu nini ni siri yangu usije ukaachika buree😍Woow,but 😳 !!!?? Kuhusu nini