Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kama una urafiki na mwanaume au mwanaume tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Nyie mnakuwaga na watu gani amboa mkikojoleana na uadui unaanza? Tatizo lenu hamuambizani ukweli kuwa hapa tupo kurefresh mind tuu tupunguzane nyege
 
..........umetumia namna nzuri kuliadress swala la mahusiano yasiyo na tija yoyote mbeleni.....hii ni ngono zembe tu hata kama inafanyika na watu wastaarabu maofisini, nikupongeze kwa kuonya kuhusu hilo, ila ungesisitiza zaidi Kwa wanawake coz ndo victims wakubwa wa mahusiano ya aina hii....... mostly wanaume huibuka mahero na wanawake huishia kudhalilika zaidi na kukosa amani........
nb: umetukwaza kidogo sisi wa kimasihara
 
Mkuu
Soma tu post za vijana wa leo kisha pita mlango ulee utatokea jukwaa la siasa ukutane na GT wakibananishana na mfumo unaoharibu thinking capacity ya vijana wa leo.

Namwelewa binti To yeye Sana tu🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wewe umenielewa vyema sana...Yaan sana
 
Mkuu
Soma tu post za vijana wa leo kisha pita mlango ulee utatokea jukwaa la siasa ukutane na GT wakibananishana na mfumo unaoharibu thinking capacity ya vijana wa leo.

Namwelewa binti To yeye Sana tu🤣🤣
Ngono imetawala kiasi Kwamba inakimbizana na pesa
 
Ukimla dada wa kazi tu tayari anajiona kawa nyumba ndogo!

Kuna mfanyakazi mwenzangu tulianza kulana akaja akanipa bango mbele ya boss japo boss hakulielewa mimi ndo nililielewa vizuri!,bila kujali nipo mbele ya boss nilimramba mtama mpaka nikapewa warning latter! Halafu boss akanifata baadae akaniuliza "umejifunza wapi karate..?" Nikamuuliza kwanini..? Hakunijibu akachukua Simu yake akanionyesha lile tukio la kumpiga mtama mfanyakazi mwenzangu kumbe CCTV camera ilituchukua!.. jamani ule mtama boss alipoutazama akaniambia resign mwenyewe kabla sijakufukuza!..
 
🤣🤣🤣🤣Ila jamaa wewe wa swimming pool!🤣 Una Vituko balaa🙌
 
Ndo ivo ngono na watu wetu wa karibu si salama
 
Back
Top Bottom