Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Jambo lolote unalopanga kulifanya omba kwanza Mungu akupe kibali Cha kulifanya lengo hilo na kufanikiwa automatic utajikuta wazo hilo unalo wewe tu ata mwaka mzima bila kumuambia mtu omba Mungu akupe kibali omba kibali katika malengo unayotarajia kuyafanya usisahau kutoa kwanza sadaka ya kupanda mbegu malimbukoNimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi.
Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda kukawa na uhusiano hapa? Karibuni.
Ata swala la kumkopesha mtu omba kibali kabla pesa haujaitoa