Kuna siri gani kua ukimsimulia mtu mipango yako ghafla inafeli au kusuasua?

Kuna siri gani kua ukimsimulia mtu mipango yako ghafla inafeli au kusuasua?

Bora mchawi kuliko jicho la Husda.

Uchawi huenda usikupate, tofauti na jicho la hasidi.

Ogopa watu wa hivyo yaani Omba Mungu sana Kama unaamini haya.

Na maisha yako ukitaka kufanya kitu fanya tu kabla hujaanza kujisifia au kumuambia kila unaemuona ni rafiki
 
na hii ndo comment nilkua naisubir, fact kabisa, shetan anasubr asikie kutoka kwako tu ukidhihirisha mwenyw tyr umekwisha
Yani amepiga mule mule!
Na haijalishi katika stage gani hilo swala limefika aisee..
Mimi kuna jambo langu niliingia kabisa kanaani ila sikuishi kanaani!
Jamani hio kitu imenifanya nijifungie kabisa mana nilijua labda huyu mtu mmoja nikimwambia sio kesi na vile nmeshafika! Hee kanaani ikanirusha nje 🤣🤣!
Nikakumbuka movie flani inasema

Don't let your guard down even after the battle has been won.

Hapo ndo nikagundua kwanini Kwenye The 100 mtu akifa ilikua wanasema - your fight is over
Kumbe maisha ni vita!
 
Kama ni kweli hiki kitu, basi waathirika wakubwa ni viongozi. Wanaweza kuja na mambo mia mbili kwenye ilani zao, lkn utekelezaji ni 0.09.

Ninachojua Kila mtu amepitia na tutaendelea kupitia baadhi ya mipango kufanikiwa na mingine kusua sua.
 
Kinachotokea hapo ni Energy transformation .

Because everything is energy either positive or negative .

MTU ambaye hana interest na wewe Mara nyingi atakusaidia ktk mipango yako tofauti na unayemjua na anakujua. Point hapa ni the person closed to you versus the right person - expose ur plan to the right people and not the person closed to you.

This is spiritual

However in Psychological - unapoongea mipango yako ktk pre-mature stage inaweza kuua motivation ya kuitekeleza.

To me what matter most is energy when you speak ur plan & goals to the wrong people , the wrong people, they can block ur way through evil eyes and their bad intention.

So It is better to hide ur plan and let ur actions speak and not words.
 
An
Inategemea na umaskini wako tu.

Mo kila mara anatangaza mipango yake ya kufungua viwanda na mipango haijawahi kufeli

Bakhressa pia anatangaza sana mipango ya kuja na bidhaa mpya na haijawahi kufeli.
Anakuwa alishaanda siku nyingi ni kumalizia tuu Ndio anstangaza!
 
Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi.

Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda kukawa na uhusiano hapa? Karibuni.
Sio siri, maadua zako wako katibu unavyo dhani. Ukitangaza mambo yako, wengine ndio muda wa kwenda kwa waganga kuhakikisha hufikiii lengo lako, wengine washirikina

Na mbaya zaid watu hawa ni wakaribu yako. Hata ndugu wa damu
 
Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi.

Kuna mstari fulan katika biblia kua "usimwage lulu kwenye nguruwe wasije wakazikanyaga na kukurarua" je huenda kukawa na uhusiano hapa? Karibuni.
ni kosa kutoa siri za ufalme wako gentleman 🐒

mipango ya maisha ni vita. Sasa unamjulishaje adui au mtesi wako strength and weakness zako licha ya kua huwezi jua ni yupi kati ya wanao kuzunguka?🐒
 
ni kosa kutoa siri za ufalme wako gentleman 🐒

mipango ya maisha ni vita. Sasa unamjulishaje adui au mtesi wako strength and weakness zako licha ya kua huwezi jua ni yupi kati ya wanao kuzunguka?🐒
Nakuunga mkono kwenye hili, Wengi huwa wanawajulisha maadui zao their next move bila hata wao kujua.
Hili ndio linawafanya wakwame , ni better wakaona tu matokeo
 
Hivi mlisha wahi ona mhindi anaingiza bidhaa katika duka lake mchana?
Je ulisha wahi ona mhindi kafilisika?
Hubadili aina ya biashara au eneo na jina lakini si kufunga kwa kufilisika ?
SIRI YA MAFANIKIO NI "SIRI"
 
Roho ya uchawi.
Watu wengi wamefungwa kichawi hivyo unavyomsanua mtu mambo yako antenna za kichawi alizofungashiwa zinaconnect direct
 
Mtu anayekuambia jambo lake na akafanikiwa ujue Kuna Siri anazo hawezi kukuambia atatumia njia gani kumbuka hao ni wafanyabiashara wakubwa Wana washauri wengi duniani hivyo wanajua njia nyingi zinazofanya kazi mikakati yao wanakuwa wameshandaa kwenye business plan
Nyie ni vijana au wazee?
 
Kuna watu wwna husdaa na hasidi.kwamachoo tu anakutia husdaa na kwaulimi wake anakutilia hasidi
 
Back
Top Bottom