Kuna siri gani kua ukimsimulia mtu mipango yako ghafla inafeli au kusuasua?

Si kila utakaemsimulia mipango yako atafurahia, hivo usisimulie mipango yako ovyo ukakaribisha roho mbaya zisolazima
 
Na vipi kumuambia mtu matatizo yako yanayokusibu na kukutesa je hiyo inafanya matatizo hayo kukoma yasiendelee ?
 
Mawazo ya kijinga na inferiority complex. Hakuna mtu anaweza impact mawazo yako positively or negatively kisa umesema tu.
 
Ina ukweli mwingi sana hii, nina shuhuda nyingi tu
 
Mipango yako ilikuwa inafeli tu, hizo habari za kuhadithia watu kusababisha kufeli ni kisingizio tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…