Kuna siri gani kubwa huwa imejificha nyuma ya Walinzi 'Mabodigadi' wa Marais (Viongozi) ulimwenguni?

Kuna siri gani kubwa huwa imejificha nyuma ya Walinzi 'Mabodigadi' wa Marais (Viongozi) ulimwenguni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
1. Anaweza kusimama muda mrefu bila kuchoka wala kutikisika hata kama Inzi ametua Mdomoni au Jichoni.

2. Hasikii Haja Ndogo mara kwa mara kama tulivyo Sisi wengine ambao kila baada ya dakika 45 tunaenda Kukisalimia Choo.

3. Hata ikitokea akasikia (akapatwa) na Haja Kubwa awapo Kazini kuna namna anavyoiminya na yenyewe inatulia tu huko iliko.

4. Njaa huwa haisikii kwa haraka japo ukifika muda wa Kula usishangae Nyama zote na Ugali Sufuria zima akamaliza Mtu Mmoja.

5. Anaweza Kukaa muda mrefu bila Kuzungumza Kitu ambacho kwa Binadamu wa Kawaida ni Kigumu sana.

6. Muda mwingi Macho yake yanatakiwa yakazie sehemu moja tu Kitu ambacho kwa Binadamu wa Kawaida ni Zoezi gumu mno.

7. Hata ikitokea kamsikia Bosi wake (anayemlinda) amejamba na ' Ushuzi ' unanuka anapaswa Kuivumilia hiyo harufu na Kuuchunia

Najua hapa Jamvini (JamiiForums) kuna ' Wabobezi ' wakubwa sana wa haya Mambo hivyo GENTAMYCINE leo nitashiba sana tu ' Madini ' yao.
 
Nyama zote na ugali sufuria zima kamaliza mtu mmoja[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mzee hujawahi piga gwaride! Kuna mbinu za kusimama muda mrefu huwa wanafunzwa.
 
1. Anaweza Kusimama muda mrefu bila Kuchoka wala Kutikisika hata kama Inzi ametua Mdomoni au Jichoni
2. Hasikii Haja Ndogo mara kwa mara kama tulivyo Sisi wengine ambao kila baada ya dakika 45 tunaenda Kukisalimia Choo
3. Hata ikitokea akasikia (akapatwa) na Haja Kubwa awapo Kazini kuna namna anavyoiminya na yenyewe inatulia tu huko iliko
4. Njaa huwa haisikii kwa haraka japo ukifika muda wa Kula usishangae Nyama zote na Ugali Sufuria zima akamaliza Mtu Mmoja
5. Anaweza Kukaa muda mrefu bila Kuzungumza Kitu ambacho kwa Binadamu wa Kawaida ni Kigumu sana
6. Muda mwingi Macho yake yanatakiwa yakazie sehemu moja tu Kitu ambacho kwa Binadamu wa Kawaida ni Zoezi gumu mno
7. Hata ikitokea kamsikia Bosi wake (anayemlinda) amejamba na ' Ushuzi ' unanuka anapaswa Kuivumilia hiyo harufu na Kuuchunia

Najua hapa Jamvini (JamiiForums) kuna ' Wabobezi ' wakubwa sana wa haya Mambo hivyo GENTAMYCINE leo nitashiba sana tu ' Madini ' yao.
wakati kasimama bosi wake anaenda chooni mara ngapi, yeye anakuwa kasimama?

Mbona maharusi pia wanajikaushaga masaa kadhaa kanisani
 
Back
Top Bottom