Kuna siri gani kubwa huwa imejificha nyuma ya Walinzi 'Mabodigadi' wa Marais (Viongozi) ulimwenguni?

Kuna siri gani kubwa huwa imejificha nyuma ya Walinzi 'Mabodigadi' wa Marais (Viongozi) ulimwenguni?

jamaa jinga sana hili halafu linapenda kujisifia sana.

Bora Mimi Mjinga ambaye nafundishika kuliko Wewe Pumbavu ambaye mpaka unaenda Kaburini Kwako utazikwa na huu Upumbavu wako pekee.
 
Mafunzo na nature ya kazi

Nishawahi msikia Mh Spika mstaafu mmoja akisema kwa nature ya kazi yake alikua ashajenga 'discipline' ya kunywa maji kwa muda/saa maalum tu...mana anatokaje pale na mada ziko hot mezani?.
 
1. Anaweza kusimama muda mrefu bila kuchoka wala kutikisika hata kama Inzi ametua Mdomoni au Jichoni.

2. Hasikii Haja Ndogo mara kwa mara kama tulivyo Sisi wengine ambao kila baada ya dakika 45 tunaenda Kukisalimia Choo.

3. Hata ikitokea akasikia (akapatwa) na Haja Kubwa awapo Kazini kuna namna anavyoiminya na yenyewe inatulia tu huko iliko.

4. Njaa huwa haisikii kwa haraka japo ukifika muda wa Kula usishangae Nyama zote na Ugali Sufuria zima akamaliza Mtu Mmoja.

5. Anaweza Kukaa muda mrefu bila Kuzungumza Kitu ambacho kwa Binadamu wa Kawaida ni Kigumu sana.

6. Muda mwingi Macho yake yanatakiwa yakazie sehemu moja tu Kitu ambacho kwa Binadamu wa Kawaida ni Zoezi gumu mno.

7. Hata ikitokea kamsikia Bosi wake (anayemlinda) amejamba na ' Ushuzi ' unanuka anapaswa Kuivumilia hiyo harufu na Kuuchunia

Najua hapa Jamvini (JamiiForums) kuna ' Wabobezi ' wakubwa sana wa haya Mambo hivyo GENTAMYCINE leo nitashiba sana tu ' Madini ' yao.
mkuu kuna wengne wanafleti kwa harufu kali za ushuzii
 
Back
Top Bottom