Kwamba nguvu hukusanywa wikendi? Tueleze kwa kina kidogo, mkuu. Kuuliza si ujinga.Ni sayansi tu kwamba watu wengi humaliza nguvu walizokusanya weekend kwa siku ya Jumatatu na hivyo momentum hupungua sana siku ya Jumanne.
Social issue siyo sayansi. Hakuna kwenda laboratory.Kwamba nguvu hukusanywa wikendi? Tueleze kwa kina kidogo, mkuu. Kuuliza si ujinga.