Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

Salaam Wakuu,

Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara.

Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii.

Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
Ni kweli kunasiku restaurants kibao haswa jumanne zinafungwa unaweza kuteseka na njaa bila sababu
 
Back
Top Bottom