Kuna siri gani makabila haya kupenda kuishi maeneo haya ya Dar es salaam

Saveya

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
2,333
Reaction score
2,338
Wana chitchat, kumekuwa na Kama tabia fulani hivi ya makabila fulani kupenda kuishi maeneo fulani kwa wingi hapa Dar mfano ni Kimara, Kiluvya, Ubungo wengi wao ni 'Wachagga'. Kitunda wengi wao ni 'Wakurya' ama watu wa Musoma, Mbagara kuna watu wengi wa 'Kusini' , Bunju, Tegeta, Boko, Mabwepande wengi wao ni 'Waha' au watu wa Kigoma in general , Vingunguti wengi wao ni 'Wagogo' .

Tuambiane kwa nini? Mimi mmatumbi wa Kilwa ndugu zangu wengi sana wako 'Mbagala' yaani ukienda unakutana na wengine wa Kusini kibakibao.

Karibuni
 
'Ndege wa rangi moja huruka pamoja' na pia 'maji hufuata mkondo;
 
Mm matumbi but nimekaa bahati mby tu zikinichanganyia nasepa ni hali ya mtu tu c kanuni imewekwa
Wana chitchat, kumekuwa na Kama tabia fulani hivi ya makabila fulani kupenda kuishi maeneo fulani kwa wingi hapa Dar mfano ni Kimara, Kiluvya, Ubungo wengi wao ni 'Wachagga'. Kitunda wengi wao ni 'Wakurya' ama watu wa Musoma, Mbagara kuna watu wengi wa 'Kusini' , Bunju, Tegeta, Boko, Mabwepande wengi wao ni 'Waha' au watu wa Kigoma in general , Vingunguti wengi wao ni 'Wagogo' .

Tuambiane kwa nini? Mimi mmatumbi wa Kilwa ndugu zangu wengi sana wako 'Mbagala' yaani ukienda unakutana na wengine wa Kusini kibakibao.

Karibuni
 
Kwa wachaga wao wana ushirikiano...
Mtu akinunua eneo sehemu fulani kama ni zuri atamwambi na mwenzake pia aje.
Hii ipo hata kwenye biashara wakiona fursa fulani wanaitana
Ndo mana unakuta sehemu fulani wachaga wapo wengi
 
Wana chitchat, kumekuwa na Kama tabia fulani hivi ya makabila fulani kupenda kuishi maeneo fulani kwa wingi hapa Dar mfano ni Kimara, Kiluvya, Ubungo wengi wao ni 'Wachagga'. Kitunda wengi wao ni 'Wakurya' ama watu wa Musoma, Mbagara kuna watu wengi wa 'Kusini' , Bunju, Tegeta, Boko, Mabwepande wengi wao ni 'Waha' au watu wa Kigoma in general , Vingunguti wengi wao ni 'Wagogo' .

Tuambiane kwa nini? Mimi mmatumbi wa Kilwa ndugu zangu wengi sana wako 'Mbagala' yaani ukienda unakutana na wengine wa Kusini kibakibao.

Karibuni
Ukiona sehemu mchagga hayupo basi hapo ujue hata nyasi kuota ni shida mchagga yeye popote ni kambi nimeshaanga kuwakuta kisarawe na bagamoyo wanalima na kufuga usisaha duka la Mangi
 
Back
Top Bottom