Wana chitchat, kumekuwa na Kama tabia fulani hivi ya makabila fulani kupenda kuishi maeneo fulani kwa wingi hapa Dar mfano ni Kimara, Kiluvya, Ubungo wengi wao ni 'Wachagga'. Kitunda wengi wao ni 'Wakurya' ama watu wa Musoma, Mbagara kuna watu wengi wa 'Kusini' , Bunju, Tegeta, Boko, Mabwepande wengi wao ni 'Waha' au watu wa Kigoma in general , Vingunguti wengi wao ni 'Wagogo' .
Tuambiane kwa nini? Mimi mmatumbi wa Kilwa ndugu zangu wengi sana wako 'Mbagala' yaani ukienda unakutana na wengine wa Kusini kibakibao.
Karibuni
Tuambiane kwa nini? Mimi mmatumbi wa Kilwa ndugu zangu wengi sana wako 'Mbagala' yaani ukienda unakutana na wengine wa Kusini kibakibao.
Karibuni