Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Weka na mchoro kabisa tuone. Hii ndo Techinical writingHesabu hazidanganyi.
Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.
•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake. Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
upande mwingine ni ule wa kulia. Siti za kulia nako ikitokea ajali ya kugongwa na gari ya kupishana mtalambwa wote upande huo!Hesabu hazidanganyi.
Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.
•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake.
Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
Kwa ndege, hivi yule jamaa wa juzi kule India alikua back bencher?back bencher kushoto hutawahi patwa na matatizo kuanzia darasani ukaguzi wa notes mpaka kwenye ndege
Hamna kinga ya ajali.upande mwingine ni ule wa kulia. Siti za kulia nako ikitokea ajali ya kugongwa na gari ya kupishana mtalambwa wote upande huo!
LoLori ikikosa breki kwa nyuma wewe ndio muhanga namba moja. Kama siku zako zimefika hata ukiwa nje ya hiyo basi utakufaback bencher kushoto hutawahi patwa na matatizo kuanzia darasani ukaguzi wa notes mpaka kwenye ndege
Kauli ya rais hiiKifo ni kifo tu.
Matusi haya kwa game changer...Huu uzi nilifikiri kaandika Genta maana ndio huwa anafikra za namna hii
Kwakuwa KAACHA KUKUINGILIA KINYUME na ULIVYOUMBWA na Muumba siku hizi ndiyo maana una HASIRA na KISASI nae?Huu uzi nilifikiri kaandika Genta maana ndio huwa anafikra za namna hii