Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

Genta alikua bize kuripoti 'kifo feki' cha Kagame
Niliripoti au nilikuwa nami nauliza ili kupata Ufafanuzi? Kwanini nyie mnakuwa na CHUKI na WIVU wa Kipumbavu mno na Mimi hapa JamiiForums?

Nimeshawahi KUWALALA au KUWALALA Mama zenu na KUWAACHENI hivyo mna HASIRA na BIFU nami? Ule UZI niliuanzisha Kichwa cha Habari kikiwa NAULIZA za Moderators kwa wanavyojua Wao wakaubadilisha na hadi kuupa HADHI ya TETESI na cha KUSHANGAZA Mimi ndiyo nao naonekana sasa kuwa nimeanzisha UZI wa kuleta TAHARUKI na WAPUMBAVU kama Wewe mnaamini.
 
Mr Twaha Bizirimana, Raia wa Rwanda uishie KAWE Ukwamani!
 
Asante
 
Kwa sababu wewe ni mnafiki
 
Wakati mwingine inategemeana na aina ya ajali, maana kunakuungua basi (bus)lote hapo hakuna siti iliyo na afadhari.
 
Ajali haina kinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…